Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari wakuu, Mimi ni operator wa mitambo ya kutengeneza barabara , nimesomea chuo cha mitambo cha Veta Shinyanga , Nina cheti na leseni pia. Ni operator wa mitambo ya Motor Grader, Hydraulic...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu! nahitaji boda ya mkataba wa mwaka mmoja iwe ni mpya tu. Nipo Mbeya mjini. Asanteni.
1 Reactions
11 Replies
855 Views
Wana familia wa JF, Amani iwe kwenu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni Mhenga mwenye umri wa miaka 36. Nimerudi nchini wiki mbili zilizopita baada ya kumaliza masomo yangu ya Shahada...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari zenu wakulungwa!! Naomba kujua mtu ambaye ataenda/yuko invited kwenye usaili wa PCCB Jumamosi ijayo pale Dodoma? Anayetokea Dsm, Mwenye private car tuchangie mafuta twende naye Asante
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu. Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa...
12 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari za mwaka mpya waungwana. Natafuta msichana wa kufundisha watoto basic computer application. Hakuna masharti mengi ni haya tu. 1. Uwe Dar es salaam 2. Ujue computer applications (Basic)...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mdada wa kazi za ndani anahitajika nchini Kenya, Nairobi. Umri kuanzia miaka 18 hadi 37 Familia ya watu wanne, Baba, Mama na watoto wawili mmoja ako Boarding school mwingine ndio anataka kuanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24. Na si mrembo tu bali ni mchapakazi sana na mwepesi wa kuelewa kitu, na napenda kujifunza pia. Elimu yangu ni ya kidato cha4, Naongea vizuri lugha ya...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Tupigie kwa namba zilizopo hapo kwenye Tangazo. Tupo Dar es salaam lakini tunahudumia mikoa yote
1 Reactions
0 Replies
406 Views
Asalam aleykum wakuu, Husika na kichwa Cha habari apo juu Mimi ni binti wa miaka 26 elimu kidato Cha nne ninaomba Kazi Kwa mwenye uhitaji wa binti kuuza duka, kuwa wakala,sheli, uhudumu kwenye...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Changamkieni fursa
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari zenyu, PCCB aptitude test result na majina ya Oral interview yametoka ndg zanguni. http://pccb.go.tz/images/stories/adverts/APTITUDE RESULTS.pdf...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mdada wa kazi za ndani, Mshahara- 60,000 Sehemu-kinondoni Dini - yeyote Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4. Atakayekuwa tayaru nicheck Dm Update...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanajamvi Naitwa Christopher Haule natokea Morogoro kwa sasa Nipo Dar nimemaliza Diploma ya Clinical medicine (Utabibu) Mkoani Ruvuma mwaka 2020 natafuta...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Naomba msaada kwa ambao wamewahi kubahatika kushiriki aptitude test za PCCB miaka ya nyuma asa katika position ya investigation officer, japo hits za namna...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Taasisi ya kuzuia na kupamabna na rushwa (PCCB) yatangaza majina walioitwa usaili wa awali. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya TAKUKURU.
1 Reactions
72 Replies
21K Views
Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. Tanzania Commercial Bank is a...
2 Reactions
3 Replies
925 Views
Back
Top Bottom