Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Anahitajika dada wa kazi za nyumbani, majukumu yake ni kama yafuatayo:- Kufanya usafi wa nyumba, kufua, kudeki, kuosha vyombo Kupika Kucheza na watoto Ujuzi Elimu ya msingi, sekondari au ualimu...
2 Reactions
2 Replies
807 Views
Habari JF, Kuna Msichana ameniomba nimtafutie kazi ya upishi, amepitia mafunzo yake Veta, amewahi kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye Restaurant za Himo huko Masasi, Mtwara Mwenye connection basi...
2 Reactions
0 Replies
725 Views
Hivi ni mimi peke yangu ninaetuma maombi ya kazi na sipewi mrejesho au!!? Kuna kipindi nilia-apply sana kazi mfululizo kwa muda wa mwaka na nusu ivi nikaacha kwasababu sikuwa napata feedback...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wana JF, natafuta health laboratory assistant kwa ajili ya maabara yangu iliyopo Wilaya ya Nzega Tabora!! Napatikana kwa namba 0621357066
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye connection ya kazi yoyote ile halali : Age;28 yrs Education; Bachelor degree of education in history & kiswahil (2019) upper second class Gender; Female Location; Dar...
2 Reactions
8 Replies
624 Views
Hosanna Higher Technologies creates Software Solutions for our corporate clients, Training IT/Software development departments for corporate and vendor variety of SaaS solutions to solve variety...
2 Reactions
8 Replies
874 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania naomba kazi ya kisimamia daladala hapa dar es salaam kwa uaminifu wa hali juu Sana. Nitafanya kazi kwa bidii zote, mtu wa kunizamino yupo. Napenda hii kazi.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani mwenye huo waraka naomba msaada aniwekee hapa, najua JF ndio mwanzo mwisho, natanguliza shukrani
0 Reactions
20 Replies
26K Views
Habari wana jukwaa Nimejitokeza kijana wenu kuomba nafasi ya intern au kazi kwa kada niliotaja kwenye kichwa cha habari hapo juu, Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya uhasibu, pia nina uwezo wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Niamini mimi ndugu kijana mtafuta kazi kumekuwa na tabia mtu kuandika post anatafuta kazi sizani kama mpo mliofanikiwa kwenye hili kama mpo kwenye kumi atapata mmoja Ipo hivi mtu kukupa kazi kwa...
10 Reactions
25 Replies
12K Views
Zimamoto wametoa majina ya waliochaguliwa kwenda mafunzoni 250 kama ulifanya interview pita kwenye vituo vyao uangalie jina lako.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa kweli sijawaelewa hawa ndugu zetu wamezingatia vigezo gani kuwapitisha watu kwenye interview baada ya aptitude test, kwani kama wangekuwa wamezingatia ufaulu wa marks za juu hakika wengi wa...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Hosanna Higher Technologies creates Software Solutions for our corporate clients, Traiing IT/Software development departments for corporate and vendor variety of SaaS solutions to solve variety of...
2 Reactions
3 Replies
702 Views
Mimi naitwa Doris Gabriel naishi Dar Nina certificate ya front office and customer care and telephone operating system.nilifanya field Dodoma Hotel,Serena Hotel, Strategies insurance,ninaomba...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Appealy hair dressing saloon wanahitaji msusi wa saloon (ya kike). Mahali: Nzuguni kwa masista, Dodoma. Sifa za mwombaji. 1. Awe anajua kutumia mashine za saloon. 2. Awe anajua kusuka mitindo...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Habari Natafuta kazi ya kujitolea kama msimamizi wa Biashara, Afisa mauzo, Afisa masoko, huduma kwa wateja na nyinginezo zinazoendana na hizo maswala ya biashara SIFA ZANGU Elimu ; Chuo kikuu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji vijana wawili wazoefu wa kuchoma chips, eneo la kazi ni kariakoo sokoni. Kama uko tayari nicheki kwa namba 0652108415 Deadline kesho
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu,Naitwa Geofrey nipo morogoro mjini,NATAFUTA KAZI YOYOTE mahalo popote,ni mtaalamu na mzoefu wa mifugo na kilimo, na afya ya binadamu. Elimu yangu ni kidato Cha sita na chuo. Course...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi. Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Km watatuita wote tulofanya application...otea interview itafanyikia wap
0 Reactions
35 Replies
26K Views
Back
Top Bottom