Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari wana JamiiForums, Kuna mtu anifahamu hio kampuni "JOB JUNCTION"? Niliona wametuma kazi nikaaply, kufika wananiambia wao ni recruitment agency kazi yao ni kuwaunganisha wanaotafuta kazi na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing) Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane Jinsia yangu ni +ke hata kazi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa tajwa hapo juu chajieleza natafuta field kwenye kampuni lolote binafsi au la serikalii level yangu ni diploma Kweny maeneo ya Sales Marketing Customer care Store keeper Kwa ambaye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
JOB VACANCY We wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in these challenging positions POSITION: CABIN CREW – 6 POSTS REPORTS TO: CHIEF CABIN CREW DUTY STATION: DAR...
1 Reactions
1 Replies
685 Views
WFP celebrates and embraces diversity. It is committed to the principle of equal employment opportunity for all its employees and encourages qualified candidates to apply irrespective of race...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
DRC has been implementing emergency response projects in Tanzania since the onset of the Burundi refugee crisis in 2015 in three refugee camps in the Kigoma Region at the border with Burundi...
1 Reactions
1 Replies
609 Views
Bugando Medical Centre is a consultant and teaching hospital for the Lake and Western zones of the United Republic of Tanzania. It is situated along the shores of Lake Victoria in Mwanza City. It...
2 Reactions
1 Replies
858 Views
Wadau, naomba michango yenu... Je, ni sawa kwa mtumishi wa uma aliyekuwa akipata posho ya nyumba/house allowance kuacha kupewa na taasisi yake kwa kigezo kuwa yupo masomoni nje ya nchi?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
habarini wana JF. Naomba kujua ni maswali yapi hupendelewa kuulizwa na utumishi kwenye written kada ya customer relation officer na public relations, kwa wenye experience na maswali yao katika...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Anahitajika Mishi/Mtaalamu wa kupika Chapati (vitafunwa) na Chipsi. Awe wa kiume. Awe mwenye uzoefu aliyekwisha wahi fanya kazi sehemu za watu wengi. Eneo la kazi ni Mkoani Shinyanga. Kwa...
2 Reactions
5 Replies
916 Views
Natafuta walimu wawili tu, wawe na uwezo wa kufundisha primary level masomo ya science, mathematics na social studies kuanzia class three mpaka seven. Shule ni English medium iko kivule, Ilala Dar...
1 Reactions
8 Replies
38K Views
Kuna jamaa yangu tumepiga nae shule, yeye alikua sio mtu wa ile misuli mirefu,kapata pass degree grade.ila cha kufurahisha ni kwamba jamaa tayari kalamba mkataba kwenye kampuni kubwa tu...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wana jf, naomba kurudia Uzi huu kwa watu ambao wanaweza kunisaidia. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
VACANCY We wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in this challenging position. POSITION: FIRST OFFICER – 6 POSTS REPORTS TO: CHIEF PILOT DUTY STATION: DAR ES...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Job Summary Position: Research Officer (1 post) Reports To: Project Leader / Study Coordinator Work Station: Dar es Salaam Apply By: September 23rd 2021 Institute Overview Ifakara Health...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Senior Research Fellow (SRF) Position: Senior Research Fellow (SRF) Background: SERA BORA, meaning Better Policies in Swahili is a 5-year (Jan 1, 2020 to Dec 31, 2024) USAID-Tanzania funded...
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Mimi pia nimesoma pharmacy lakin kigezo cha lesseni ndo kinanifunga ndo ntk nikaapply nadhn baada ya wiki kama tatu nitapata lessen kwahy wenye vigez nimeamua kushare nanyi
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Job title: Research officer Location: Tanzania Reports to: Research manager Duration: 6 months (with possible extension) Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent in...
0 Reactions
2 Replies
656 Views
Back
Top Bottom