Position: HSE Officer
Reports To: H3SE Manager
Employment Duration: September 2023 to May 2025
Job Type: Full Time
Location: Tanga Port
Purpose and scope of assignment
The main objective of HSE...
Habari za asubuhi wapendwa.
Kijana mpambanaji miaka 28 nimekuja Dodoma kupambana ila hali imekuwa tete nimeshindwa kiukweli naomba kama kuna mwenye ramani ya kazi au kibarua dodoma naomba...
Kwa:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
S.L.P 2483,
Dodoma.
YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING...
Habari za usiku huu wanabodi wenzangu na pole pia kwa mihangaiko ya shughuli zenu za kila siku
Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu kuwa nilikuwa nawaomba members wenzangu wa hili jukwaa...
Nafanya kazi kituo Cha serikali Kilwa nipo tayari kwenda sehemu yoyote ambayo
Ina baridi Kali
Mkoa wowote wenye baridi
Iwe mjini iwee kijijini sijali naangalia kuwe na baridi tu.
Wakuu habarini za wakati huu kama kichwa cha habari kinavojieleza
nahitaji wahudumu wakike watano,Kaunta wawili na mtu wa jikoni mmoja.Mshahara mhudumu ni laki moja,Kaunta ni laki na nusu na...
GardaWorld is a leading company in the region in provision of security solutions, facilities management, and training services across East and Central Africa.
HEALTH & SAFETY MANAGER
KAHAMA
To...
Position: Safety Health & Environment Manager
Reports to: the Risk & Security Executive Officer
Core Job Description:
To oversee the organization’s comprehensive safety and environmental...
TANGAZO
#EPMCOMPANY
Tunatoa huduma za research za aina zote kwa sasa!
Tupo Mwanza, Mtaa wa Selemani, na pia tunatoa huduma online kwa urahisi wako.
Mawasiliano:
WhatsApp: 0768615672
Simu...
Habari,
Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa...
Habarini za mchana ndugu zangu mi ni kijana wa miaka 24.
Na nilikuwa nina malengo makubwa sana kimaisha ila ndoto zangu zilikuja kufifia baada ya baba yangu mzazi ambae ndio alikuwa kila kitu...
Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa nacte (AVN) na kwa sasa nashindwa kupata password ya kuweza ku log in katika account yang na nna uhitaj sana wa kupata AVN...
Company Summary:
Simera Transport Ltd is a Tanzanian company under private ownership, was founded in 2012 and has since evolved into the preferred choice for road freight transport and logistics...
Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science.
Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.