Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye kufaham mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotoa ajira mbalimbali naomba mwongozo wako. Kuna zile kazi za research, community linkages, n.k. Kila shirika linatofautiana. Naweza kuanza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF kama kicha kinavyojieleza apo mimi ni binti wa miaka 22 natafuta ajira elimu yangu ni kidato cha sita mpaka sasa sjapata ajira,nna cheti cha basic computer,microsoft exel na...
2 Reactions
9 Replies
893 Views
Hello wakuu, habari. Naomba msaada kwa yoyote anayefahamu agents wa kutaftia watu kazi (skilled na non skilled jobs) kwa nchi hizo za kiarabu naomba anifahamishe mahali wanapopatikana ama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level. Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wahahitajika vijana watano kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, mabegi ya mitumba maeneo mbalimbali mkoani Arusha. Aina ya kazi iko hivi:- Asubuhi utakabiziwa mzigo kutokana na uwezo wako, na...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu,, Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo dar aje pm tuwasiliane N.b it is urgently...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Wakuu habari zenu, Nawasilisha.
1 Reactions
26 Replies
6K Views
kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu poleni na majukumu. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza kupita kiasi ndugu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wapendwa, Naombeni mnisaidie connection hata nipate mahala pa kufanya field, nategemea kuanza field November sema ndo barua zangu mpaka Sasa hazijibiwi msaada wenu tafadhali..nasoma...
1 Reactions
4 Replies
970 Views
Habari waja Jamii Forums mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi yoyote elimu yangu ni form six pia nimesoma pharmaceutical science mwaka wa pili nilishndwa kumaliza kutokana na kukosa ada. Naomba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi nikijana wa miaka 24 natafuta kazi ya ufundi wa magari katika kampuni na watu binafsi na pia nimepitia mafunzo ya veta nanauwezo kundesha gari na leseni yangu daraja E kwa mwenye uhitaji ni...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Tutumie uzi huu mwenye kibarua (kazi ya muda mfupi) aeleze kazi aliyonayo na inatakiwa ifanyike lini; ili mwenye kuhitaji kazi hiyo ajitokeze, na wakubaliane malipo ili maisha yaweze kuendelea...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa nlikua naomba kujuzwa salary scale za HESLB 4 ni kiasi gani
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za muda wadau, Nataka nifanye biashara ya kuuza chips Mbagala ila nimekosa mtu wa kufanya nae kazi. Kama yupo mtu mwenye uzoefu na hii biashara tuwasiliane
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu. Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mficha maradhi kifo humuumbua. Hivyo ndivyo navyoweza kusema kwa sasa. Mwenzenu ni mwaka wa pili sina ajira tangu mkataba ulipokoma kule kwenye kampuni niliyokuwa nafanyia kazi. Mimi ni mwanaume...
5 Reactions
7 Replies
903 Views
Back
Top Bottom