Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active...
Wadau kwema.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..
Kazi nazoweza...
Wakuu nimepata fununu jana wakati niko sehem nikipata lunch posta pale, kuna wazee walikuwa mbele yangu wakizungumzia kuhusu mishahara basi nikasikia TBS ndo baba lao watu wanamwagiwa pesa sana...
Wapendwa Habari zenu.
Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani.
Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya...
Habari za muda huu waungwana,
Mungu ni mwema .nije kwenye mada wakuu, kwa mwenye connection ya kazi kwa mtu wa folkal lift nimesoma bandari collage pale nakuahidi 60% of my 1st salary...
Wakuu salam kwenu. Niko hapa naomba tips za wapi pa kugusia kwenye written exams za utumishi kada ya ICTO upande wa software developer na Sys Admin.
Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi...
Habari wanajukwaa, naulizia hivi wa job junction kuna mtu alishawahi kupata kazi kupitia wao? Maana walitoa tangazo wakasema tuma cv baadae wakatuma email wakaweka namba ya simu niwapigie, mara...
Wakuu kwema?
Naomba kwa mwenye upeo...kijana wangu amechaguliwa kusoma kozi hii katika moja ya vyuo naomba kujua anaweza kufanya kazi gani kwa kozi hii hisusani katika ngazi za halmashaur?
Nime-graduate bachelor of Philosophy with education (Philosophy and Linguistics ) SAUT Mwanza-2020.
Naomba msaada wowote wa kupata C/tion, wazo, direction kuhusu ajira; iwe ni kwenye NGO's au...
Habari ndugu zangu,
Mdogo angu kaitwa interview ya vitendo shirika la reli TRC kwa fani ya equipment operator kwa mwenye ufahamu wanatumia mashine gani kufanyia usahili?
Tumshukuru Mungu, Hakuna kinacho shindikana mbele zake.
Anahitajika Muuzaji wa DLDM, sifa zifuatazo.
1.Awe binti/Mwanamke
2.Umri chini ya miaka 23.
3.Awe amehudhuria mafunzo ya ADDO na awe...
Habari wakuu,heshima kwenu nyote,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,ombi kuu ni kuomba nafasi ya kazi, nafahamu hapa kuna watu mbalimbali na wenye nafasi tofauti tofauti na katika wengi waswahili...
Habari wakuu, Mimi ni Kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 29. Banda ya kumaliza kidato cha nne nilijiunga na chuo cha utumishi wa umma TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE, TABORA CAMPUS...
Salaam Jukwaa hili pendwa la JF-ajira.
Ni miaka mitatu sasa tangu nimalize chuo kikuu X.
Nimejaribu kupeleka barua za maombi ya ajira shule binafs bila mafanikio yeyote.
Masomo yangu ni English...
Anaitajika mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kupika biriani na Mande pia n avyakula vingine kwa ajili ya biashara ya mgahawa Bunju B.
Noamba ni PM kama una sifa hizo.
Kama kuna mtu yeyote ambae anafahamu kampuni ambazo hutoa magari ya mkataba kwa ajiri ya biashara kama #uber #bolt na Indrive anifahamishe tafadhali.
Isipokua: FMG TANZANIA Inc.[emoji3]...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwanamke mchapakazi na muaminifu .Nina uzoefu sana kwenye kazi ya uhasibu haswa kwenye mambo ya kodi. Nina uzoefu sana kwenye kazi zifuatazo:
●Preparation of payrolls...
Habar ndugu zangu.. mimi nikijana nipo dar es salaam natafuta kaz au connection yoyote yakuweza kupata Kaz hata kama ni kwenye viwanda,kusimamia biashara nakadhalika.. popote pale kweny fursa ys...
Habari wakuu!
Mimi ni MWALIMU wa shule za msingi na awali,
Natafuta kazi kwenye shule hizo:-
1.nina DIPLOMA IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION
2.nina CERTIFICATE IN INFORMATION AND COMMUNICATION...
Natafuta kazi yoyote. Nipo tanga,umri miaka 25.
Kielimu nimefika form six,nimepitia mafunzo ya jkt,university incomplete.
Mzoefu kwenye mauzo (Duka,grocery, hardware). Gardener, house keeping.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.