Habari za wakati huu wadau wa jamii forum.
Anatafutwa kijana wa kazi ya kuuza duka.
Location: Dar es salaam vikunai.
Vigezo: kijana wa kiume
Umri miaka 17 mpaka 20
Uaminifu mkubwa
Ofa: Malazi...
Wakuu habarini!
Mimi ni mwalimu katika masomo tajwa hapo juu,niliehitimu elimu yangu katika taasisi kubwa tu hapa nch mwaka 2018
Nina uzoefu wa miaka miwili katika fani ya kufundisha,hivyo...
Wakuu naamini kazi zinaendelea! Msaada tafadhali,
mdogo wangu anahitaji kuhama toka wizarani kwenda moja kati ya mashirika haya COSTECH na TAEC( Atomic Energy) ameshapata barua za kukubaliwa...
Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni.
Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii...
Naomben kufaham!
Mimi ni clinical officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea ambayo naweza pata ajira hata kwa baadae kupitia kujitolea kwangu, naombeni kufahamu hospitali za daresalam...
Naitwa edgar nina elimu ya kidato cha 4. Mwenyeji wa arusha ila kwa sasa npo lindi nachingwea.
Nauzoefu wa kazi za uchimbaji mdogo na wa kati, kazi hii nimefanya kwa miaka takribani 6, pia...
Habari me ni kijana mwenye umri was miaka 24..nina certificate of business administration... Seriously I look for job hata MTU ambae anandugu take nji za nje aniunganishe hata nikawe housekeeper...
Job Title: NPSA8 Finance and Operations Analyst
Advertised on behalf of : UNCDF
Location : Dar es Salaam, TANZANIA
Application Deadline : 27-Aug-21 (Midnight New York, USA)
Additional Category ...
Project Officer (Tanzania)
Job Title: Project Officer (Tanzania)
Tanzania-Dar es Salaam
This Project Officer (PO) position provides high-level support to MSH’s CDC-funded NPHI Capacity Building...
Property Management Clerk, G-4
Job Title: Property Management Clerk, G-4
DEADLINE FOR APPLICATIONS : 08 August 2021
DATE OF ISSUANCE : 26 July 2021
OFFICE : Registry/ General Services Section...
Overview
Tanzania Health Promotion Supports (THPS) is an indigenous NGO established under non- governmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministry of...
Overview
WHAT WE CAN OFFER YOU:
A comprehensive compensation package including bonuses, benefits, and where applicable.
Ability to make a difference and lasting impact.
Work in a dynamic...
Higher Education Scholarship Officer
Position: Higher Education Scholarship Officer
School of St Jude
The School of St Jude is a pioneering leader in charitable education within Africa. We are...
REVISED
RE: SOFTWARE DEVELOPERS IN AFRICA
Many greetings to you.
We are currently looking for Software Developers in Africa.
We welcome applications from all African countries.
Consideration...
Wasalaam wakuu.
Mimi niko dar
Kuna kampuni ipo Mwanza niliomba Kazi online...
Wakanipa mitihani migumu na technical, nkafanya,,nkafaulu.
Sasa baadaye(jumatano iliyopita) executive director...
Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba...
Mimi ni mwalimu nilikuwa nafundisha shule moja Mwanza. Mshahara uliokuwa unatambukilika kisheria na kimkataba ilikuwa laki mbili(200000) tu.
Makato yalikuwa ZSSF= 20000TSH
KODI (PAYE)=ILIKUWA...
Habari ndugu zangu!
Kuna sehemu nafukuzia mchongo ni international NGO agency ya UN....ila nimepata changamoto kidogo maana nimeambiwa hawapokei application letters maana ni position ya...
Many greetings to you.
We are currently looking for Software Developers in Africa.
Kindly share the attached job descriptions to the qualified ones to send their applications before the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.