Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Nataka kufungua drycleaner maeneo ya majohe-Gongo la mboto. Nahitaji dobi ambaye atafua nguo kwa kutumia mashine na kunyoosha. Mwenye sifa hizo piga 0788 200 767
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu kwa majina naitwa hassan Mohammed ninaishi Yombo Kiwalani ilala ninahitaji gari ya kazi(Uber) Nina account zote Uber na Bolt na zote zipo active Nina uzoefu...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Jamani wana hukwaa na swali , muajiliwa wa miezi mitatu sasa katika shirika imara( kama serikali) lakini nikiangalia kwenye mtandao wa nssf online naona sijachangia chochote ! Angali nimekua...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za mda huu wadau wa JamiiForums, Mimi ni Kijana. Naishi Dar es Salaam. Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition mfumo wa TABLE TEACHING. MASOMO YA KUFUNDISHA O-level : Physics...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello developers Ataka mtu wa kutengeneza IMS ya products. Kigezo ni kunionyesha kazi zako au demo. Malipo ni maelewano (ila bajeti yangu ni laki mbili mpaka 1M). Kwaiyo inategemea na kazi yako...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Maisha kuna wakati ni changamoto, unatamani hata urudie kidato cha pili uwe umetulia tu nyumbn mama anakutafutia chakula, hadi nakumbuka maneno ya rafiki yangu tulikuwa tunakunywa wote hela za...
1 Reactions
4 Replies
687 Views
Wakuu habarini! Mimi ni mwajiriwa wa wakala mojawapo ya serikali nimepata chance ya kuhamia shirika moja la serikali baada ya kuomba kwa hiari. Je, kuna stahiki nitarajie kuzipata kwaajili ya...
2 Reactions
30 Replies
14K Views
Habari wakuu naombakuuliza hao jamaa nimefanya nao interview mbili za oral .....na kazi yao niliomba kupitia empower... nifanye na walisema interview ile ya pili ndo ya mwisho....sasa hadi sasa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Job Positions 35 Loan Officer at Tujijenge Tanzania. Tujijenge Tanzania’s mission is to improve the quality of life for families in Tanzania through the provision of microfinance. We are a...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nime maliza degree ya procurement chuo cha saut mwanza naomba kwa yeyot mwenye nafsi katka tasisi yoyte msaada lengo ni kuongeza uzoefu wa kufanya kazi ..Nisha fanya field katk halmashauri ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja. Napendelea mkataba hata kama gari...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Habarini wakuu, kwa anaehitaji mwalimu mbobezi wa physics tuwasiliane 0622866091
2 Reactions
1 Replies
501 Views
Mwenye kujua hizi nafasi za kimadaraka mfano afisa elimu au kuwa mkaguzi wa shule huwa zinapatikanaje
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
The School of St Jude is looking for a Higher Education Scholarship Officer. What you’ll do Identify international scholarship opportunities that provide access to higher education to...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Wakuu hii sio hali ya kawaida sidhani Kama nchi nyingine hali ipo hivi yaani hata post moja tu hamna...suala la ajira ni gumu kote lakini sitaki kuamini kama Serikali inashindwa kuwa na utaratibu...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom