Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Fail to retrieve partner's information in ESS transfer exchange request. Nini tatizo na jinsi ya kutatutua hii changamoto?
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako. Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu: 🔹 Huduma ya Logo design...
3 Reactions
6 Replies
441 Views
Mimi ni kijana umri 26 Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma, Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda...
3 Reactions
8 Replies
360 Views
Katika hali ya sasa ambapo ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania unazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka, inasikitisha kuona kwamba serikali bado inaajiri watumishi wa umma, hususan walimu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics...
1 Reactions
10 Replies
986 Views
 Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya -Desiging All Digital Printing...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mfumo wa elimu wa wengi umewafunza kuomba nafasi mezani ilihali maisha yanataka mtu achukue(ak-claim) nafasi yake mezani kibabe. Ukiomba unaweza kupewa ama kunyimwa, ukichukuwa nafasi yako...
4 Reactions
6 Replies
394 Views
Mambo vp wakuu, Nafahamu sekra uliyopo au kazi unayofanya au biashara unayofanya utahitaji moja ya huduma hizi nitakazo zitaja hapa 👇👇 DOCOMENTARY(MAKALA) Na produce, direct na kushoot...
1 Reactions
3 Replies
241 Views
Habari, natafuta kijana mmoja wa kiume, mchakarikaji akiwa anaishi maeneo ya Tabata Barakuda au Vingunguti itakuwa bora zaidi. Mawasiliano: 0764423726 Awe anajua kuchoma nyama vizuri awe mzoefu...
1 Reactions
2 Replies
304 Views
Naombeni Connection ya kazi ya Udereva IT... Nimejaribu kufatilia changamoto ni- Natakiwa kujulikana na Dereva wa katika kijiwe nlichoenda kuomba Udereva wowote wa wa gari Ndogo pia naweza...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Jamani habari, Nipo morogoro naombeni connection ya sehemu ya kujitolea. (Volunteerism au internship) Ila pia hata kazi yoyote ya Stationary au saloon. ( Najua mambo ya graphics design na...
1 Reactions
0 Replies
169 Views
Habari za mda huu wanajamii, Nimerudi tena kwenu shida yangu ni sehemu gani sahihi kwa sasa naweza nikajifunza masuala ya skimming na mambo ya kupaka rangi kwa hapa Dar au kama kuna fundi yeyote...
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani...
6 Reactions
21 Replies
630 Views
Habari Node is a licensed Internet Service Provider with its headquarters in Arusha, Tanzania providing standard Internet services and a range of innovative ICT based business solutions to the...
2 Reactions
2 Replies
326 Views
Hivi muuguzi mwenye certificate Muhimbili anaanza na mshahara kiasi gani?
2 Reactions
3 Replies
787 Views
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom