Habar zenu wana jukwaa. Kama kichwa cha habar kinavojieleza, nimeona niwaletee hii ili vijana waongeze maarifa na uelewa kutoka kwa wajuvi.
Hii wiki imeanza kwa mimi kusumbuliwa na vijana juu ya...
Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya...
Poleni na majukumu ndugu zangu
Nilikuwa naombeni connection ya kazi.
Nina Degree ya Sheria pia nimefanya kwenye maswala ya HR pia ni knowledge ya kufanya kma HR hata nafasi ya kujitolea. Nipo...
Natumai mko wazima.
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina shahada ya Usimamizi wa Manunuzi na Mnyororo wa Ugavi (Procurement and Supply Chain Management) pamoja na cheti katika matumizi ya kompyuta...
Katika jamii yetu, mara nyingi kazi zinazochukuliwa kuwa "za ovyo ovyo" au zisizokuwa na hadhi ya juu zimedharauliwa. Watu wamekuwa na dhana kwamba kazi kama hizi hazina mbele wala nyuma...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.
Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa...
Tunaomba serikali itambue kozi ya Health information Science kwenye Portal za Ajira za serikali.
Je, serikali Ina mikakati gani? Maana huu ni mwa wa Saba na intake ya 8 Toka ianzishwe pia...
Habari zenu wana JamiiForums
Naomba mnisaidie natafuta kazi yoyote kahama kama kuna mtu anamtafuta mtu wa kumsaidia kwenye kazi zake kama kuuza duka au kwenye restaurant kazi kama hizo naweza na...
Habari ndugu zangu,
Wanahitajika vijana kwa ajili ya sales & marketing kwenye mradi wa real estate.
Eneo ni Kigamboni Dar es Salaam
Tuma CV yako kwenda; sophiahamidu59@gmail.com
Piga: 0655738017
Hello,
Mimi ni msichana ninayevutiwa sana na kufanya kazi Casino, sina connection na wala sijawahi fanya kazi hiyo.
Naomba mwenye mapenzi mema anasaidie connection.
Sipo DSM, ila naweza...
Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla
Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa...
Wakuu..!!
Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma
mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS).
Hivyo basi nimejaribu...
WALIMU SOMENI HAPA
Difference Between an Aptitude Test and a Memory-Based Test
Aptitude tests and memory-based tests are used for employment assessments, but they evaluate different abilities...
Interested parties are hereby invited to tender for the Survey, Supply, Installation, and Commissioning of Battery Bank and Inverter System at the School of St Jude – Moshono Campus.
For more...
POST
INSTRUCTOR II - PRINT MEDIA - 1 POST
EMPLOYER
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
APPLICATION TIMELINE:
2024-10-04 2024-10-14
JOB SUMMARY
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
To assist...
POST
INSTRUCTOR II - MUSIC - 1 POST
EMPLOYER
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
APPLICATION TIMELINE:
2024-10-04 2024-10-14
JOB SUMMARY
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
To assist Senior...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.