Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo...
0 Reactions
3 Replies
674 Views
Naomben mwenye kunisitil anisitili ndugu zangu. Pakuishi ninapo lakin sina kazi ndugu zangu Naombeni mwenye kunisaidia anisaidie kazi yeyote tu Asanten sana MUNGU AWABARIK SANA Mara nyingi...
10 Reactions
21 Replies
708 Views
Habari za mda huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 23. Elimu yangu ni kidato cha sita, niko hapa kutafuta ajira yoyote ile sichagui kibarua ilimradi kiwe na mazingira mzuri ya kazi (am...
2 Reactions
8 Replies
404 Views
AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna...
22 Reactions
94 Replies
18K Views
Poleni kwa mzigo wa tozo, kodi na vat Point yangu ni moja, since then nilikua napenda sana kufanya kazi kwenye migodi (kazi ya ndoto yangu) lakini sijawahi kupata connection za huko. Kwenye...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari wakuu! Nina ujuzi wa maswala ya store / Warehouse. Niliwahi kuwa stock controller kwenye deport Fulani ya kuuza vinywaji Kwa zaidi ya miaka mitatu. Nilikuwa na deal na operation za pale...
0 Reactions
1 Replies
502 Views
Zamani hizi recruiting agency zilikua na msaada sana kwa watafuta ajira lakini siku hizi nyingi zimekua na ubabaishaji. Siku hizi zimeibuka recruiting agency ambazo zinaomba fedha kwa watafuta...
4 Reactions
12 Replies
674 Views
Baada ya kutuma maombi ya jeshi la wananchi tanzania ni kwa mda gani majibu yanatolewa na kwa njia gani
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview...
2 Reactions
7 Replies
491 Views
Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
1.Jina la mkuu wa wilaya yako. (unapoombea) Hapa utaulizwa swali hili kukupima na kukuangalia muombaji ni kweli unatoka wilaya husika ama la, inabidi mhusika umjue mkuu wa wilaya yako unapofanya...
16 Reactions
83 Replies
46K Views
Nimepata kutumiwa hii kitu na mfanyakazi wa AutoXpress hivyo kama kuna graduate wa mwaka 2023 na mwaka huu. Wafanye kuomba!
1 Reactions
2 Replies
425 Views
GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Ninesomea Ualimu Shule za msingi nakuhitimu 2019. Nimesoma kujiandaa na usahili mpaka nimesahau Mwezi uliopita nilisoma nini. Imegeuka adhabu utumishi kama hamkuwa mmejiandaa mngeacha tuu.nilijua...
3 Reactions
7 Replies
478 Views
Wakuu ni hivi pamoja na kwamba sikuwahi kumaliza diploma in mechanical engineering. Lakini hapo nyuma miaka ya 2021-2023. Nilitamani siku Moja nifanye kazi kama fundi. Lakini baada ya mapito ya...
4 Reactions
8 Replies
371 Views
Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
26 Reactions
413 Replies
50K Views
Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya. Enyi serikali hebu wajarini wananchi wenu kwa usawa. Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye...
5 Reactions
8 Replies
641 Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT'S OFFICE Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) Date: 17/09/2024WRITTEN INTERVIEW RESULTS Tutorial Assistant (Electrical Engineering) Chuo Kikuu cha...
3 Reactions
8 Replies
648 Views
Habari ya uzima. Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM Natengeneza pikipiki za aina zote
0 Reactions
4 Replies
456 Views
Back
Top Bottom