Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna...
Kuna baadhi ya waajiri wana tabia ya kuomba vitu vingi sana kwa mtu alietuma maombi ya kazi
Mfano kuna taasisi flani waliwahi kutangaza kazi lakini kwenye usaili wanakuambia uende na barua tatu...
Wakuu nina mdogo wangu kamaliza chuo last year, grade IIIA, Kila kitu nilimuwekea ila mpaka sasahivi grade III wengi wamekuwa shortlisted for interview yeye Bado.
Nimeulizia nimeambiwa kwenye...
Habari wanajukwaa,
watu mnaoshiriki interview za kazi kama muombaji, HR au kama mratibu wa interview na kadhalika tunaomba mtusaidie tujifunze na kujiandaa vizuri. Ni ujuzi/skill gani ambayo...
Position: Radiographer
Job Details
Diploma in radiography or radiologic technology.
A state license and certification to practice.
Excellent communication, interpersonal, and patient service...
Most of job academic requirements in ajira portal exclude applicants.
I suggest that the secretariat widen the window for applicants to be able to apply for most posts. For instance someone has a...
Habari za humu JF, natumai mko salama na mnaendeleza mapambano.
Niende Moja kwa Moja kwenye ombi langu, naomba mwenye kazi ya usimamizi wa shamba lake, au kama Kuna mtu humu ndani anafahamiana...
Habari za jioni mjamvi?
Habari za leo waungwana?
Siku ya tarehe 20 julai 2024, Tamisemi kupitia Utumishi walitangaza ajira za ualimu kwa ngazi za astashahada, stashahada, shahada na...
Habari wakuu
Najitokeza kuomba ajira yoyote tofauti na professional,nimehitimu shahada ya utawala wa umma( public administration) mwaka 2018 mpaka sasa nimetimiza miaka 6 nipo mtaani
Naomba...
JOB TITLE: OPERATIONS SUPERVISOR (CLEARING & FORWARDING)
POSITION: 1
INTERTZ LOGISTICS COMPANY LIMITED
Summary:
Intertz Logistics Company Ltd is a registered company situation at the heart of Dar...
Habarini Wana JF nimehitimu mwaka huu Bachelor of Science in Chemistry lakini mpaka sas sijapata ata sehemu ya kujishikiza hata part time licha ya kuaapply internship sehemu mbalimbali.
Natafuta...
Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970
Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo
N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
Habari.
Mchakato wa ajira zilizotolewa kwa kibali cha Raisi wa Jumhuri ya muugano wa Tanzania.
Majina yaliweza kutolewa siku za hivi karibuni lakini kiukweli kumekuwa na malalamiko makubwa...
Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma.
Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.