Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kwanza niipongeze wizara husika Kwa hatua iliyochukuliwa ya kuwafanyisha usaili ..maana italeta haki Kwa watoto wasiokuwa na watu au connection za kuwaingiza kwenye system Yani ufaulu wako ndo...
0 Reactions
17 Replies
797 Views
Kuna interview zimeanza Jana Kada ya afya ila Kuna baadhi ya wasimamizi sijui ni kwa maksudi ama bahati mbaya wameamua kuharamisha mchakato mzima wa usahili. Natolea mfano kituo cha Zanzibar...
1 Reactions
4 Replies
394 Views
ALEXIA HOSPITAL JOB OPPORTUNITY Open Vacancy: Lab Technologist: 6 positions Medical Doctors: 11 positions Nurses (RN, EN, & NA): 13 positions Pharmacy Technicians: 4 positions Clinical...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
About IRRI The International Rice Research Institute (IRRI) is dedicated to reducing poverty and hunger through rice science; improving the health and welfare of rice farmers and consumers; and...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Invitation to Tender (ITT) Tender Ref. No. PIT/RUK/01/FY25 Supply Of Construction Materials For Primary School Classrooms, Nkasi District Council, Rukwa Region. Plan International is an...
1 Reactions
0 Replies
168 Views
URGENTLY NEEDED Medical Doctor (2) Requirements: *Valid licence *Good in obs, gyn and surgery. Location- kijichi DSM Send your CV 0684261334 Attractive salary Deadline 7/9/2024
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Hello, Naomba mnisaidie ambao mmeudhuria interview za utumishi. Kwenye vyeti vya form four, six, chuo na Cha kuzaliwa natumia majina mawili tu (AMANI FOCUS) Kwanye kitamburisho Cha mpiga kura...
2 Reactions
11 Replies
702 Views
Naomba kufahamu kuhusu hili. Kuna ndugu yangu ali update kimakosa G.P.A yake ya chuo ajira portal akaandika 2.8 baada ya 3.5. Je, hapo kuna tatizo lolote na inawezekana ku update?
1 Reactions
8 Replies
710 Views
Naomba msaada kwa, wale wazoefu wa huu mfumo wa ajira portal , baada ya kumaliza kutuma maombi kuna baadhi yetu wamepokea jumbe kwenye email zao kua wamefanikiwa ila kwa wengine hakuna...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF, Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa photo and video shooting kuna fursa hapa Location: Dar es Salaam Piga: 0625544723
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Habar wana JF, Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
0 Reactions
2 Replies
242 Views
Habari za majukumu wana familia wa Jamii Forum, Natafuta kazi. Nina elimu ya certificate ya Mipango Miji ila nimeshajaribu kutafuta kazi nimekosa ni muda sasa nina umri wa miaka 32.
2 Reactions
4 Replies
330 Views
Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye...
6 Reactions
14 Replies
735 Views
Graduate BA majored Economics Nimepitia mafunzo ya ualimu. Uzoefu kufundisha Economics, Geography (1&2) na GS miaka 10. Kwasasa nashughuli binafsi (usaidizi na ushauri miradi na uandishi...
2 Reactions
0 Replies
126 Views
Mi mamaa mtu mzima anahitaji kazi Kulea wazee. Kuangalia mzazi aliejifungua n.k Yupo Dar. Kazi kazi za nyumbani. Mshahara uanzie 150,000 Ni mchapakazi. Hana mume wala watoto, sio msumbufu.
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (CCM) Noah Lemburis Saputi amesema ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa huku akitaka...
2 Reactions
1 Replies
350 Views
VAS Software Integration Engineer Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 30 Aug 2024 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working...
1 Reactions
0 Replies
262 Views
Back
Top Bottom