Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi. Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Wasalaam Kwa ambao wameshafanya usahili wa polisi unaoendelea.. nisaidieni hivi wanauliza maswali ya namna gani.. kuna mdogo wangu anafanya kesho Iringa.. Wasalaam. Heshima mbele kama Tai
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Na tafuta sehemu ya kujitolea kwenye NGO yoyote. Nipo Dar es Salaam nimesoma Project Planning and Community Development. CVkwa ufupi Age 25 Place dar es salaam Experience. Biko sales Nom...
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Sasa hivi natamani nipate ata kazi ambayo nitalipwa ata laki na nusu ila sipati Kweli MAISHA yana ramani na aliyemchorea masikini pen ili mgomea njiani Napata makapi vinono navitamani
14 Reactions
76 Replies
2K Views
Habari wakuu, samahani kwa mwenye uelewa wowote kuhusu usahili kwa kada ya Afisa Afya Mazingira anisaidie, pia nakaribisha wanakada wenzangu tujadili kujiandaa na usaili . SHUKRAN IN ADVANCE
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Salaam Wana JF Mimi ni MTZ mwenzenu naombeni connection za ajira tayari Niko Canada ila ajira ni ngumu kweli kweli, na Kuna mpaka matapeli usipokua makini utalia mambo yanayozungumzwa nyumbani...
6 Reactions
84 Replies
5K Views
Anonymous (8da4)
Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama...
0 Reactions
3 Replies
396 Views
Namba, msaada kwa wale wazoefu wa ajira portal hii sehemu ya professional qualifications mwalm unaweka cheti gani?
0 Reactions
4 Replies
742 Views
guys natakiwa kwenye final interviews its all about excel , i will be given computer and excel sheet with questions , pls nipen ma formula na techniques wadau, nimetumia excel ofcn for more thn...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari zenu waungwana? Ninaleta kwenu ombi la nafasi ya kazi kwa shule ambayo ina uhitaji wa mwalimu wa masomo ya physics na chemistry. Ni binti. Amemaliza chuo mwaka jana. Shule iwe Dar es...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu nipo nje ya mfumo sana na sijawah kutuma maombi ya ajira nje na mfumo ule wa mwanzo wa online application. Sasa naomba kwa anaejua anipe ABCD kidogo ya namna ya kutuma maombi Nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Natumai hamjambo! Naomba kujua mimi ni mwalimu kwenye kipengele cha professional qualifications tunaweka vitu gani?
0 Reactions
5 Replies
686 Views
Habari, naomba kujua kama interview Tabora rifferal hospital imeshafanyika? kwasababu sijaweza kuona majina ya walioitwa.
1 Reactions
1 Replies
176 Views
Wakuu za mida, Natafuta mtu wa ku translate document kutoka English to swahili. Ni kazi ya haraka please share your contact nikutafute. Sio mambo ya Google translator please! Hiyo hata mimi...
2 Reactions
24 Replies
807 Views
Maombi yatumwe kwenda info@4jsfitnesscenter.co.tz na si vinginevyo. HATUTA KUULIZA ID YAKO. KWENYE APPLICATION YAKO UTASEMA TU UMEONA TANGAZO JF
7 Reactions
11 Replies
504 Views
Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka? Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓 Mimi ni kijana wa makamo tu...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Hello wakuu, Naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani, afisa kilimo ngazi ya kata hulipwa shingapi serikalini?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom