Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Leo tarehe 18/7/2024,
Mkoani Tabora yamehitimishwa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...
Nilifungua account ajira portal mwaka 2020, ila nimesahau password lakni nikienda sehemu ya forget password wanatuma zile digits kwenye namba nilizosajilia account na mimi hizo namba sina na wala...
Tomorrow wake up, Put on your Official clothes, go to any company, and start working. If they call the Police go to the police station and start working there too. Sending CVs every day is so...
Just imagine kuna taasisi/Shirika gawio lake kwa Serikali leo hii imetoa mamilioni ya fedha/Billions plus.
Wengine taasisi zetu hata Millions 50 zimeshindwa😁.
Taasisi/ Mashariki kama haya ndio...
Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika...
Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM
Asanteni
Hello Jf
Binti wa kazi anatafutwa.
Sifa
1. Ajue kupika chapati
2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu
3. Ajue hesabu
4. Awe anajua kuhudumia vizuri
Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na...
Wakuu nataka kuuliza hii taasisi ya Tanzania food and nutritio centre inalipa vzur kwa mfanyakazi aneanza kazi hapo?
Maana mdogo wangu amechaguliwa kama laboratory scientist kwa level ya degree.
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma
1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na...
Habari wakuu,
Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam.
Contacts. 749662314
Nawaslisha.
Wasalaam
Kwanza ieleweke mie ni mdau wa elimu. Baada ya taarifa za ajira za ualimi kutolewa na sekiretarieti ya ajira badala ya TAMISEMI kama ilivyozoeleka vijana wamehaha.
Wanauliza itakuwaje kama...
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.