Kitambo sana kuna mwamba mmoja aliniulizia modema kama hyo...ila kwa sasa simpat hewan...so mwenye kujua wap naweza kupata modem kama hyo...na kama unafahamu niambie bei yake ina range vip?
Ndugu wana JF,
Nimenunua vodafone smart 4-min ila sijapenda kwasababu haikai na chaji kwahiyo naomba kuuliza je power bank zinapatikana hapa Tz na je ninunue yenye ukubwa gani kwaajiri ya hii...
leo computex microsoft na patner wake wamezindua tablet za bei rahisi sana ambazo zote bei zake ni chini ya dola 200, tablet hizo zinarun full windows 8.1 lakini katika kioo kidogo cha inch 7 na...
Habarini,
Mimi natumia simu aina ya HUAWEI Y 330 line mbili, nikajiunga kutumia line zote mbili whatsapp katika cmu moja na nikawa natumia vizuri tuu bila matatizo sasa tatizo linalo nikumba saa...
Habar zenu wakuu, muda mfupi hapa nilikuwa naweka operating system Mpya kwenye PC. Then nikiwa kwenye process nikaletewa message ifuatayo:
"WINDOW CANNOT INSTALL REQUIRED FILES. THE FILE MAY BE...
Natumai muwazima, juzi nilikuwa naunganisha waya za solar zinazotoka kwenye power controler nikawa nimechanganya hasi na chanya kwenye betry ikapiga alarm nikawa nimechomowa lakini ilisikika...
Naombeni msaada wa kurudishia Bluetooth kwenye Laptop yangu inayotumia Window 7, bit 32.
Laptop yangu ilikuwa na tatizo la ku-link kati ya Moderm na internet, yaani ilikuwa nikichomeka moderm...
Jamani Nina Wireless Route D Link N150 but haina internal modem na haina port ya kuweka modem ya kawaida. ila ina ethernet port tuu, naomba kujua kama naweza kutumia modem ya kawaida kwa kutumia...
Polen kwa majukumu ya wiki nzima wakuuuuu.
Ningependa kujua juu ya jinsi hili jiko la umeme linavyofanya kaz kwan sifa zake ni-
1-ni touch screen.
2-linakioo tuu juu.
3-halipati joto hata kidogo...
Mwenye ujuzi jins ya kuipata simu yangu Huawei Y210 nahisi nimeidondosha mahali au imeokotwa na mtu alookota hajui chochote coz up 2 now simu iko hewan ila haipokelewi.
Hapa nisaidie hata kwa...
Google redirect virus is a browser hijacker targeting google and other search engine search results and redirecting user to infected pages. These pages can be pornrelated or full of advertising...
Kama ulitegemea Microsoft itazindua version mpya ya Desktop OS hivi karibuni ambayo itajulikana kwa jina la windows 9 ambayo itarekebisha mapungufu yaliyopo kwenye windows 8, utakuwa umekosea sana...
The Best Desktop Manager for Android
With AirDroid, you can send text messages from your computer, manage your contacts, apps and media, and paste links or clipboard items to your phone...
Hundreds of Dropbox Passwords Allegedly Leaked, Change Yours Now
An anonymous hacker is claiming to have leaked a few hundred usernames and passwords for Dropbox accounts. It's unclear where...
Wakuu msaada nina kingamuzi kina record .TSV file format ila nimekosa media player ya kuicheza au kui convert kuja format kama .mp4,.flv etc
Nime attach sample naomba msaada
Samsung claims to have found a way to make wi-fi data travel five times faster than it does currently. It said its engineers had overcome two significant technical problems that had restricted...
habari wakuu,
tatizo langu ni: nimetengeneza wordress theme kupitia artisteer software..sasa kila nikienda kule kwenye wordpress ili niipuload inanikatalia na inaniletea ujumbe huu
Forbidden...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.