Airtel waja na kifurushi kipya cha internet. Kinaitwa OMg Bundle. Gharama zake ziko chini na kiasi cha data wanachokupa ni cha kuridhisha kama ilivyo hapo chini:
Sijajua kam speed imepanda...
habari zenu wana jamvi , wakuu naomba msaada wenu natumia window 8.1 pro.
nilikuwa natumia viber ambayo inapatikana store nika uninstall sasa najalibu kuinstall tena napata ujumbe huu YOUR...
Habari wakuu
Msaada jinsi ya kuflash modem ya huawei airtel
lakini siku hiz nikijaribu kuztumie zile file hususan huawei flasher haiend inaishia kuleta message ya can connect bye.... bye...
Wakuu habari zenu,
Jana nimeona debit za ajabu kuhusu itunes mpk nimeamua ku-freeze account kbs kwa sababu hawa apple sijui mtandao umekuwa mbovu ama kuna shida gani wanakata mnoo hata vitu...
Wakuu baada ya kupata kpata comments zenu kwenye ile beat ya kwanaza nimetengeneza Hii beat ya taratibu kidogo....
Mnaweza mkanipa maoni yenu pia kuhusiana na hii beat ya sasa
Developers wa kinaijeria wametengeza App inayokokotoa kiwango cha mahari kulingana na sifa za mwanamke (wa kinaijeria) anayetarajiwa kuolewa. Kabla hatujaendelea unatahadharishwa kuwa App hii ni...
Habari wakuu,
Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu
Nashindwa kuweka posts kwa kutumia JF app katika simu yangu, naombeni mnipe njia ya kuweka posts kupitia app ya jf
Baanda ya kudownload IOS 8.0.2, simu yangu imepotenza option ya kuituimia kama personal hotspot.
Naomba msaada wa jinsi ya kurejesha hii huduma ili nisirudi kwenye modems!
Wakuu naomba tujulishane hapa browser unayoikubali on your android device.Mimi binafsi natumia Uc browser tena naikubali sana just try it uone!!! sijui wenzangu mnatumia browser zipi karibuni
Wataalam wangu kwema?
habarini za jumapili????
naombeni msaada kama kuna mwenye link au ufahamu wa software/application ya kusaidia ku copy files kwa haraka, ninatumia super copy ila naona kama...
Shukrani kwa wale walio jitokeza katika workshop ya Electronics tarehe 27 September 2014,naamini wamefurahi katika nafsi zao kwani workshop ilikua nzuri sana hadi ikabidi tuongeze siku,,pia...
1."Your work is going to fill a large part of your life, and the only way to be truly satisfied is to do what you believe is great work. And the only way to do great work is to love what you do...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.