Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu Nina galaxy pocket hapa tangu Jana inajizima na kujiwasha automatic Ina Kama miaka mitatu mkononi kwangu sijawahi kuexperience Hilo Shida ni nin? Msaada
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini wakuu…samahani wakunwa naomba mwenye freq. mpya za free chanel kwenye king'amuzi cha azam tv…achana na zile za zamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi, Naomba msaaa wa activator loder ya window 8.1 mwenye nayo anisaide au anipate link niweze ku download coz nime download but does work
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Hello, Which can you recommend with reasons as the best web hosting server taking into account storage, bandwidth, uptime guarantee, dedicated plan, technical support, security, optimized...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nataka kununua smart phone ya HUAWEI au TECNO lakini najiuliza ipi bora, kuhusu uimara na uwezo. Nisaidieni wazoefu.
0 Reactions
71 Replies
24K Views
Standby A glance screen that shows the time and battery percentage only while charging. Even for Non-Lumias Cortana can be called even with the screen off.. [hardware support needed .. phones...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Habari wakuu Jaman msaada natumia Y300 najaribu kurudsha whatsapp lakini wapi nmeweza kuregister my phonr number lakini inaniandikia INITIALIZATION PLEASE WAIT
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please help me with the unlock code for this ALCATEL airtel mobile broadband modem ce0700 tct mobile limited BKX one touch X230E 01 Z128 X230E-2LATTE3-1 IMEI: 867612008738290 Please kindly...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada wireless dongle ni nn?coz nina PC tablet yangu inasoma E nimejaribu Ku set nipate 3g inataka niweke kitu kinaitwa dongle... Je ndo nn
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Habari wakuu, Nna shida ya program moja ambayo unaweza kudownload app za kulipia bure kwenye android mobile Natanguliza shukraan
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Please mwenye kujua tatizo, min laptop yangu screen yake hai display...ilidondoka kutoka meza ya chakula to the floor..anisaidie plz.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia Epson printer px 660, natumia wino za nje. NImeclean head zaidi yz mara kumi na bado niki check nozzle nakuta bado haijakaa vizuri, what should i do then?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naleta mada ambayo napenda tufundishane namna ya kutafuta unlocking code za simu. Imekua utamaduni kwa watu baadhi kuomba fedha nyingi sana ili kufanya hiyo kazi hivi ni kweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How to Increase Internet Speed. Whether you are at home or at work, having a fast and efficient Internet connection is a vital component of your daily life. Slow speeds and weak connections can...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari za saa hii wakuu. Nimeanza kutumia After Effects, lakini nina shida kidogo. Niki-import clip kwenye project, nikiishusha kwenye composion, wakati wa ku-play hakuna audio. Kwenye media...
0 Reactions
4 Replies
998 Views
Wakuu habar zenu, naombeni msaada jinsi ya kudownload adobe acrobat for pdf files, nilishajaribu nimeshindwa maana nikiingia google naziona nyingi sasa nashindwa kuelewa ipi sahihi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za usiku huu wanajamvi ? Nashindwa kudownload apps kwenye Tecno M3, katika Play Store. Kila nikijaribu inakuja meseji hii "unfortunately google play store has stopped". NAOMBENI MSAADA WADAU.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nina projects nying nimezi-design nyingine zinahitaji mitaji mikubwa hivyo nilitamani nijue ni kampuni gani kwa tanzania naweza kushirikiana nayo katika kuziunda project hizi kwa malengo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jinsi ya kucheza game la vita kwenye tecno h5 .kuna sehemu ya kumsafirisha mgombea kupitia kwenye magenge ya waasi pale nimeshindwa kuvuka basi aliye weza kupacheza anierekeze alifanyaje linaitwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wajuzi nisaidieni, vipi hizi flat tv zimeandikwa mrUK, Zina ubora gani?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom