Wakuu kuna mtu yuko india nataka nimtumie hela Sasa kuna complicate kidogo coz nimetaka kutumia akaunti yangu ya akiba bank wameniambia hawana hyo huduma Pia nimetka kutumia card yangu ya visa ya...
Ndugu zangu naomba msaada wenu katika hili, mara nyingi tumezoea kucheza games za PS2 kwa njia ya kawaida ya kutumia CD. Lakini kuna namna ya kucheza PS2 kwa kutumia flash drive. Kwa mwenye...
Jamani samahani naomba mtu anisaidie kudownload majina ya walio pata mkopo hapa Home halafu uya converty kwenda,kwenye pdf na kuyaweka hapa ni ya download msaada tafadhari
Guys nina kimeo changu cha tecno h5 android version 4.2.2 na nishakiroot tayari, Naomba mwenye idea ya kuniwezesha kufuta zile pre installed apps anielekeze....nimechokonoa mtk droid tool mpaka...
Naomba msaada wadau, ninagari Noah inanakifaa cheusi kimeandikwa ETC STATION nina muda sasa sijajua kinafanya kazi gani?, nilichojifunza wengi tunamiliki magari kunavifaa vingi hatujui kazi yake...
Jamani nimepata hii simu lakini cha kushangaza haikamati 3g pia hii simu ipo slow sana yana ukitaka kufungua kitu has uwanja wa mesej inazunguk wee mpk mpak basi, niifanyeje ili uwe na kasi na...
Google has quite a few products to launch this fall, from hardware like the Nexus 6 (also rumored to be called "Nexus X") and the Nexus 9 tablet to software platforms that include the next major...
Nimebadili window 8 katika laptop yangu na kuweka 7, matokeo yake katika desktop betri imeweka alama X, na inasema consider replacing your battery. Nimeangalia driver za betri zipo sawa, tatizo ni...
Kuna Systeme naifanyia kazi, sasa mimi ni programa wa JAVA na nilichokifanya hapa kwenye JAVA ni sahihi kabisa ila kwenye PHP naona semantic Error.
Tatizo ni moja, kwanini inashindikana ku call...
Nahitaji mtu mwenye kufahamu ili tatizo simu yangu ya huawei inatatizo, nikipiga picha nikiingia kuzifungua zinakuwa black ama zinafunguka nusu..ni nini tatizo litakuwa.
MADHARA YA UMEME MDOGO AU UMEME MWINGI KWA WATUMIAJI WA MOTOR ZA UMEME.
Matumizi ya motor yamekuwa mengi sana hasa katika viwanda vikubwa na vidogo.
Vile vile watu binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.