Wadau ninaomba msaada wa jinsi gani naweza kuburn movies nimedownload kutoka youtube zipo vlc na Mp4 nataka nizihamishie kwenye cd; mwenye kujua ni software gani ya kuburn na jinsi gani ya...
Laki kipind cha nyuma nilikuwa nacheza fifa 12 tena bila shida yoyote nashindwaa kuelewa tatizo Na ma game mengine Kama hitman linafunguka arafu linagoma tena inaandikia close window .
Msaada...
Nimeifanyia Kazi for kitu kama Wiki moja na Nusu...
Nashukuru Mungu nimeimaliza...
check it out and tell me what you think!
cc : Magembe R. Malima Nyasiro Good Guy
#StayCreative
Naweka search function katika android application
Assume nina MainActivity na SearchableActivity
Searchable.xml configuration katika app manifest file ikae kwenye activity ipi kati ya hizo...
Ninatumia Software ya Mobile Partner (Zantel) kwenye masuala kujiunga kwenye internet...ila software hii ina/featurefunction/module ya kupiga simu (Call Module). Tatizo lake ukiingiza namba ya...
Wakuu, ninataka kuburn movie nilizo download na torrents, natumia external cd-rom na nero kama burner.
Movies nyingi nilizo download ziko kwenye form ya DVDRip,HDCam,DVD Scr,BRrip n.k...
Habari za jioni wadau nina smartphone mpya aina ya lenovo(P780-Row) inatumia android v 4.2.1 naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuinstall internet settings za mtandao wa TIGO customer care...
Useful Secret Codes of Nokia mobile phone
*#06# for checking the IMEI (International Mobile Equipment Identity).
*#7780# reset to factory settings.
*#67705646# This will clear the LCD display...
Naombeni msaada jinsi ya kuconnect cm yangu ili niweze ku play nyimbo na video kwenye dvd player yangu mm nahisi kuna maelezo siyaelewi. Vizur naombeni msaada
Below is the full text of the Apple statement:
We wanted to provide an update to our investigation into the theft of photos of certain celebrities. When we learned of the theft, we were outraged...
Msaada wakuu,natafuta kifaa hiki,FM TRANSMITTER TUNER ambayo naweza kuitumia,kusafirishanmawimbi ya sauti (audio signal) kwa wireless.naweza kupata wapi, kwa bei yoyote wakuu, mimi nipo Dodoma.
Hi there,
I have two views one is clients and another is projects but there relation is a field named client name (on drupal 7)
+ clients
- client_name (text)
- client_logo (image)
+...
Kwa mtu yoyote yule anaye hitaji kujifuza unix na maswala mbalimbali ya cloud computing na SDN
nenda @2weed2geek | 2weed2geek nimetengeneza lab ambayo nimatumaini yangu ita tufaa wote.
Habari wakuu.
Nina simu aina ya Galaxy Y Duos, shida ni kuwa nikiingia ndani haifanyi kazi kabisa yani network inakata japo za wenzangu zinafanya vizur tu.
Je! hapo tatizo ni nini? Na nalitatua...
Toka nimeweka window 7 baada ya miezi sita computer yangu imekuwa nzito sana kwenye upande wa internet pamoja na nikitaka kuiwasha ndo kabisa inabidi niwe mpole kwani inachukua nusu saa nzima...
kuna mambo uwa siyaelewi kwenye os za microsoft windows.
Mfano kuna kipindi cha nyuma niliwahi post kuwa cd yoyote ya windows 7 inakuwa imecontain versions zote ila kuna jinsi ilivyofungwa ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.