Wakuu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii program, wanasema inauwezo wa kurestore data/file ambalo lipo parmanently deleted, wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kurestore kazi yangu nliokua...
Stunning photos taken of secret lava cave Nature photographer Josh Hydeman explores an underground cavity formed by flowing lava 8,000 years ago in a location somewhere in Washington...
Habari zenu wakuu,
Natumia iphone na mpaka kufikia leo natumia application ambazo ziko free. Sasa kuna application ambazo nataka kupurchase ila napata kikwazo kwenye payment method. Kadi yangu ni...
Katika uchunguzi wangu nimegundua uwezo na speed ya intaneti kwenye simu inategemea pia setting za apn (access point names) ukiwa na apn nzuri unaweza kupata hata intaneti yenye kasi inayoweza...
Habari za Asubuhi wana JF,
Leo asubuhi maeneo ya Banana nimeibiwa simu yangu aina ya Asus Zenphone5,naombeni msaada kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia jinsi ya kuipata hii simu kwa namna yeyote...
Kwa wale mliopo kwenye vikundi kama vikoba, mashilika au vikundi vya watu na huwa mnatumia simu kwa ajili mawasiliano, ni kwamba kampuni ya simu ya zantel ina huduma maalumu kwa ajili ya watu...
Habari za Asubuhi wana JF,
Leo asubuhi maeneo ya Banana nimeibiwa simu yangu aina ya Asus Zenphone5,naombeni msaada kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia jinsi ya kuipata hii simu kwa namna yeyote...
Natumia pc HP pavilion dm3 ina hdd 320 na ram 4gb AMD Athlon Neo X2 dual core Processor L335 1.60GHZ
Tatzo lake inakuwa Too Hot kweny upande wa HDD
Msaada wenu kwa kijana wenu hapa
Nataka kudownload movie hii hapa chini kutumia nero au express burner,je kuna haja yoyote ya kui convert kuwa kwenye DVD format kabla ya ku download?
Msaada kwa anaefahamu tafadhali.
Habar wakuu
Leo katika kupita pita nimekuta hii mahal fulan nimesoma naona haina tofaut na google adsense mwenye kujuah atufanulie tafadhali http://www.server.tanzaads.com/
Cc Donn...
Wakuu habarini za asubuhi! poleni namajukumu,
Nina laptop ya dell satelite 530 ina vga card ya 64mb yaani kuna gemu la assan creed hata ailisukumi.
Nisaidieni kwa hilo kama...
Wataalamu naomba msaada,simu yangu ni nokia asha 201 inatatizo la kujirestart kwa muda mrefu sana pindi ninapoizima na kuiwasha,hii imepelekea nichaji simu bila kuzima naomba kujuzwa tatizo ni nini?
Are there any computer programming enthusiasts in Dar es Salaam? I would like to meet other coders to develop my skills and develop mobile applications.
HELLO!
SIMU YANGU TAJWA HAPO JUU IMEKUMBWA NA MKASA WA KUWA LOCKED.Imedisplay McAfee mobile security ,wataalum wa hili suala tafadhali nielekezeni kama kuna software yoyote ya ku-unlock,au kama...
jaman vijana ajira hyo apo..mm siyo mchoyo,mm n mmliki wa blog moja hapa tz nilianza hii biashara miezi sita iliyopita sasa napoelekea ni pa zuri lich ya changamoto hapa na pale one day na mm...
Amani kwenu wote.
Samahani ni software ipi bora ambayo inaweza kuplay video mfululizo ndani ya smartphone bila kuchagua kwenye folder tena.
Natanguliza shukraan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.