Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna mtu anafaham kampuni inaitwa Dihabuka Technology?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu shapakua hili gemu sema extracting password sina naombeni msaada wakuu.
0 Reactions
5 Replies
790 Views
Wanabodi naomba msaada simu yangu ya Samsung galaxy mini s5570 ime freeze for two days now. Inawaka na kuzima kama kawaida ila tu touch screen hairespond. Nimejaribu kufanya hard reset sifanikiwi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nina camera aina ya FUJIFILM ina tatizo upande wa lens haitaki kuingia ndani, tatizo hili lilianza baada ya mtoto kuichezea naomba anayejua namna ya kuirekebisha anielekeze cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uzi huu unawahusu wale wote waliosoma, na wanaosoma radiography, iwe ni MUHAS au CUHAS. Karibuni tujadili changamoto za taaluma hii na faida kwa ... ATOM FOR PEACE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kuna yeyote ni member wa IEEE au IEEE Computer Society?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani jamani nilikua na bb 9800 ya vodafone nikafungua email ya voda sasa nimebadili nina bb9780 sasa tatizo nikifungua email kwenye hii simu mpya inanitaka password za email ya voda ambako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa namna ya kuroot blackberry curve 9300.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Apple is holding one of its signature keynote events today in its hometown of Cupertino, Calif. Its latest iPhone, some sort of wearable device, and a payments system are expected. Here's how to...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni Samsung s4 mini - mpya sasa kila nikitaka ku connect kwenye Internet inagoma kabisa Wenye ujuzi naomba msaada namna ya kui wezesha hii simu kupata 3G Network.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamii, Naomba msaada. Rafiki yangu amepata ajali na kupooza miguu yote hivyo kutoweza kuendesha gari. Naomba kama kuna mtu anayeweza au anajua mtu anayeweza kumodify gari yake ili aweze...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wadau nilikuwa naomba mwenye hayo ma game hapo juu Anisaidie nipo Dodoma Mjini Asanteni sana
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani ni kweli haiwezekekani ku bypass hiyo kitu mwenye ujuzi uzi huo twende sawa
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari zenu wana jamiii. Nilikuwa naomba msaada. niliagiza badminton racket and shuttlecocks from ebay last month. i received only shuttlecocks. when i contacted seller this is what he replied...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wakuu naombeni msaada jinsi ya kuchakachua modem tajwa yenye IMEI 866452012466435. Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
6K Views
WanaTech. Naomba msaada nina simu ya huawei y530. Nimewasha data ,na nina kifurushi cha internet lakini simu hairespond kila ninaposurf. Naomba msaada wadau please.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna dogo nimemkuta maeneo ya home huku ana computer ya Toshiba ali install window 8 two month ago ila sasa hiv akiwasha computer inachukua saa moja ndo inafika kwenye zile tiles halaf ipo slow...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Aina mpya ya simu ambazo ni saa itakayokuonesha simu ya mtu anayekupigia kwenye ngozi yako tumeendelea sana katika teknolojia kwa aina hii ya saa Riot ambazo zina uwezo wa kuona mesage za...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu, Natumia Samsung galaxy pocket imekua ikinisumbua sana. 1. ukiandka msg keyboard inakua kama haina sense yoyote, hii had nizme sim niwashe ndio inakaa sawa. 2. ukifungua app ina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za hapa wakuu, Nilishut down laptop yangu aina ya lenovo g500 nilipokuja kujaribu kuiwasha inawaka poa kila kitu kinafanya kazi hata ukiweka cd inazunguka vizuri lakin screen haionyeshi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom