Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Process zote nimefanya. Nikaambiwa wamekata $1.99 nikicheki kwenye statement nitaona kuna makato toka paypal na digits 4. Leo wiki ya tatu sijaziona. Nimeshaomba statement bank mara tatu wapi...
0 Reactions
6 Replies
984 Views
"The server at olas.heslb.go.tz is taking too long to respond. The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few moments. If you are unable to load any pages...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba mwenye utaalamu anisaidie ku unlock hiyo simu ni Samsung Gt-E1500 inahitaji password, pale napowasha inataka password.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ingawa mwanzoni ilikuwa vizuri kwenye kukremu maneno but imefika mahali ikapoteza memory completely. Nimecheki online nikakuta ni tatizo la wengi na wapo wanaoshauri kuinstall google keypad...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu habari? Kwa yeyote mwenye maujuzi na simu tajwa hapo juu. Tatizo kila niki install application, inaniambia file manifest, au error no space available. Tatizo nini? Au niguse wapi kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yeyote anyejua njia rahisi tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Wadau najaribu kutafuta tunein application for PC. Kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kuidownload na kuinstall? In case you are not aware, tunein application enables you to listen to variety of radio...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Nisaidieni how to unlock my phone.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejaribu ila kila mara naambiwa nimekosa namba ya siri au namba ya kadi, namba ya kadi ni ipi!? Maana mimi natumia hizi namba 16 ziko mbele ya kadi na bank ni CRDB mtandao ninaotumia ni vodacom...
0 Reactions
21 Replies
23K Views
How to unlock tecno d5. Bahati mbaya sikuwa na google email halafu nimesahau pattern please naombeni mnisaidie ku unlock my phone nimejaribu ku flash imegoma nimetumia njia kama ya ku unlock...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Pamoja na majonzi makubwa yaliyotupata, tupeane pole wote kwa kuondokewa na kipenzi cha dunia nzima Nelson Mandela. Nina tatizo nimejiunga na group ambayo heading yake na content zake ziko tofauti...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Naomba kutoa tahadhari kwa anae tarajia kuroot simu yake kwa kutumia Framaroot. 1--> Hakikisha simu yako ni original mfano kama ni tecno basi iwe tecno original sio copy,na nyinginezo zisiwe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nashindwa kufungua file ambazo nimedownload kama matangazo hivi, vitabu cjajua kwa nn naombeni msaada. Mfano file ambalo lipo katka systm ya PDF nikidownload cwezi fungua plz nifanyaje?
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Guyz nina Tecno P5 nahitaji kui hard rest and I dnt knw hw to do it plz help somebody blocked my phone pattern
0 Reactions
2 Replies
15K Views
Habari wanaJF, kuna hii kampuni ambayo ni mawakala wa Toshiba, Dell na Hp wako Upanga UN road, jengo la Swiss tower. Kuna jamaa yangu kanishauri niwapelekee PC yangu ili itibiwe matatizo yake...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Habari wadau? Nahitaji kununua gari aina ya Mazda Attenza Sport Wagoni, engine L3, Displacement 2300, Four Cylinders ya Mwaka 2003. Naomba kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu na gari hii in terms...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba kujua namna ya kufahamu kama simu imesajiliwa inavyotakiwa. Nimekosa kunakiri code kutoka majadiliano Star TV
0 Reactions
6 Replies
7K Views
kwa mujibu wa mitandao ya neowin na mingineyo wameanza kupost picha na video za iphone 6. picha zimetolewa na mtandao wa kichina na wale jamaa ambao ndio hujulikana kwa kuleak product za apple...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habar ndugu zangu, ninatatizo kwanye simu tajwa hapo juu, tatizo lilianza baada ya kui-reset yaani haikamati internet kwa namna yoyote, na ukikonect data inaonesha iko ON ila ile alama ya E ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hapo kabla sikujua tatizo ni nini, ila nikawa nikibadili line nyingine katik simu yangu(android os) tofauti na airtel hili tatizo la GPS kujiwasha halipo. lakini nikitumia internet ya airtel GPS...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom