Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu. Naomba aliye na kijiprogram cha kuactivate sauti kwenye xp na window installer 4.5 anisaidie link ya kudownload free. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Wakuu habari za weekend,nimewahi fanya manununzi kwa ebay nikafanikiwa bila tatizo.ila kwenye amazon nashindwa please naombeni nieleweshwe procedures jinsi ya kununua vitu amazon
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ningependa kujua languages zilizotumika kwenye utengenezaji wa website ya JamiiForums pia na kama ilitumia service kama phpBB iliyotengenezwa kwa php. Pia na hosting yake inakuaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mida hii, samahani mwenye uzoefu na puku power bank naomba anipe mrejesho ili na mimi nipate kujipatia nakala yangu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimenunua simu ya tigo line mbili ila tatizo inataka uweke tigo tu msaada tafadhali nahitaji kutumia slot zote kwa line tofauti.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Salama wakuu.? Nina tsh.400000 naombeni ushauri ninunue simu gani. Nataka iwe mpya kabisa yani niitoe dukani.. Sifa: Iwe android/ios/bb10 os,windows.. Isiwe Samsung,Huawei au tecno...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimejaribu kutumia hii GOOGLE GEOLOCATION SERVICE kupata latitude na longitude za miji ya Tanzania. Kwa bahati mbaya inarudisha Latitude is -6.822921° Longitude is 39.269661° kwa miji mitatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ofisini tumepewa laptop za dell za touch screen. Sasa kuna kifaa kipo kama moderm kimeandikwa Mobile Broadband 3.5G USB stick. Ni kitu gani hiki maana sioni mahali pa kuweka line kama moderm...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani na-iwe-kwenu Kama kichwa cha ombi langu kinavyosomeka hapo juu,naomba wajuzi wa tasnia hii ya teknolojia ya simu na wale ambao mmebahatika kuitumia simu tajwa nimfahamishe uwezo wa Tecno...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Na Laptop yangu HP pro book . Ilianza tatizo gafla tu. ukiwasha inafanya Window Repare . niliiongoja usiku mzima onaload kale kamstari kanafika karibia na mwisho inaanza upya . Kupeleka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie wenye uelewa na swala hili ili niweze kuidisign vizuri blog yangu. Jinsi ya kuziweka habari katika mpangilio wa home, habari za kitaifa, kimataifa na siasa katika blog
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba msaada kwa hili: Nilikua natumia ving'amuzi viwili kwenye TV moja, DSTV na Startimes, nilisafiri sasa nimerudi naona inaonyesha DSTV tu na startimes inakua kama haijaunganishwa na TV...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuuu nadhani mko vizur kabisa Juz kati nilikuja na uzi unaohusu kubadili jina kwenye page za facebuk zenye like zaidi ya 200 lakin sikuchoka kugoogle na nimepata pa kuanzia.. Website...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
siku hizi kumekuwa na ongezeko la bidhaa feki kila siku , bidhaa hizi maarufu kama bidhaa za kichina zimekuwa kero kwa watu wengi,leo ningeingia kwenye simu za mkononi aina ya samsung galaxy...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kwenye computer yangu nina Operating systems mbili. Natumia Window 8 as primary OS na Ubuntu as secondary OS. Nimeinstall Ubuntu (gnome flavor) on top of window OS and everything works...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I need help on how I can encrypt my phone to protect all information i usually exchange.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu makaka na Madada, Anayejua free android app ya kuweza kuedit background anisaidie jamani !
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saa hizi wana JF Poleni na majukumu Naomba msada wenu cku hadi cku nimekua nikidownlod android sdk card kwenye pc ila imeshindikana jitihada zangu Hazijazaa matunda Naomba msada wenu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda nimekuwa nikitumia windows phone, hasa Nokia Lumia, hii simu kwenye OS ilikuwa Ni shida Sana hasa kwenye internet sharing since Lumia amber mpaka Lumia Black, hizo zilikuwa na lot of...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom