Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana jamvi naombeni mwenye software application ya vitual dj ama direct link ambayo naweza ku download natanguliza shukurani.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomba msaada juu ya kuhack firefox kwenye simu ya android.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau poleni na majukumu yenu ya kila siku. Naombeni mnisaidie kujua simu bora zaidi kati ya samsung galaxy s4, huawei y300/y330, y511 na huawei g6 pamoja na tecno s9! Aidha nisaidieni kujua bei...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kati ya iOS,Windows,Blackbery na Android ipi OS unaikubali zaid?
0 Reactions
74 Replies
13K Views
Google Doubles Down On Productivity With ‘Google For Work' Rebrand This morning at its San Francisco offices, Google announced a rebrand of its enterprise products, renaming the set of...
1 Reactions
0 Replies
597 Views
Apple's Two Factor Authentication Doesn't Protect iCloud Backups Or Photo Streams One of the common bits of advice you'll see people giving you around this celebrity picture hack is to...
1 Reactions
0 Replies
630 Views
Apple Denies Any Breach Of Its Systems In Celebrity Photo Leak Apple has released an official statement in response to accusations that its iCloud storage system might be somehow behind the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau salamu Samahani ninashida na outlook -e-mail yangu zamani ilikuwa poa sana, gafla ikaanza kutoingiza e-mail kabisa, basi nikadelete e-mail zoote, shida iliyopo sasa ni kuwa e-mail mpya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada, nina simu yangu Samsung galaxy pocket inastaki then sehemu niliyo touch ina andika contact stop au sms stop nifanyaje na shida nini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yoyote anayeweza kunisaidia serial keys za norton antivirus 2012 naomba anisaidie jamani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wapendwa mwenye kujua jinsi ya kutatua hilo tatizo la computer, kila nikijaribu kuiwasha inaniletea ujumbe huo Sijajua tatizo nini Naomba msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji ku-unlock Huawei E303s-1 modem, natumia DC – Unlocker 2 Client v1.00.0975. Nina-select manufacturer kisha nina-select model, ina-detect modem. Kwenye ‘unlocking' nakutana na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naona kama inachukua mda mrefu sana na kunipotezea mda PC inapowaka katika Safe Diagnotics Mode. Nifanyeje ili nikiwasha iwake kawaida? Ni iset vipi? Thanks
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu naomba kila mwenye uelewa aweke maneno hapa. Naomba kufahamu ni model gani ya TECNO smart phones ziko bomba sana (this shall not be limited to mobile phones). Kama wana IPAD, usisite tupia...
0 Reactions
69 Replies
16K Views
Naomba msaada wa ku unlock ZTE K3805 VODACOM modem, natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa namna ya kufunga ma folder yangu kwa passwords, maana kuna vitu vingne ni confidential sasa nashindwa namna ya kuhide.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
The most powerful 5.7' monster is about to hit the premiere. Kesho ndo kesho katika IFA Berlin 2014 ambapo Samsung Galaxy Note 4 pamoja na Galaxy Gear S(SOLO) zitakuwa revealed na Samsung Mobile...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa anaye ifaham nokia limia 680 naomba aniambie kama inafaa kwa matumizi na anipe specification zake coz nimejaribu ku google sijapata
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Wakuu yani nahisi kama naota jirani yangu kanunua receiver ya star gold na dish lake 170000 lakini channel anazopata duh! yaani kwa macho yangu kile kidishi kidogo channel zote za TZ hadi Clouds...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kampuni matata ya kutengeneza vifaa vya electronic ambayo imejipatia umaarufu mkubwa kwa kuunda simu za iphone, ipad, ipod hata kompyuta na television, (apple) inatarajia kuiweka sokoni simu mpya...
1 Reactions
72 Replies
9K Views
Back
Top Bottom