Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina pc compaq nikidownload sofware yoyote nikiinstall inanijibu hivi windows cannot access the specified device,path,or file,you may not have the appropriate permissions to access the item hii...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Habari wakuu. Nokia lumia 520 maandishi yanachezacheza (flickering) hadi hayasomeki. Hard na soft reset zimeshndwa. chief mkwawa
0 Reactions
0 Replies
888 Views
1. Beats by Dre The entire line is complete ----, especially for their ridiculous prices. Did you know that Beats Pro/detox that you saved over 500 dollars to get cost only 3 dollars to make...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Vital Signs, a monitoring system led by Conservation International (CI), is co-hosting an event on Monday, at the African Green Revolution Forum (AGRF). During the meeting, Tanzania’s Ministry of...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
maneno haya yananipa tabu sana hivyo ni vema nikipewa ufafanuzi zaidi wa kueleweshwa HTML: Content – a markup language CSS: Display – a markup language JavaScript: Behaviour – a programming...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habar. Natumia modem ya ZTE MF 190 Ya airtell. Baada ya kuichakachua kwa kutumia Dc unlocker nimetumia kama mwezi tu. Leo ghafla imegoma haisomi sim card. Msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
916 Views
DRP 13.0 inaweza kuchagua na kufunga(install) dereva(drivers) sahihi kwa ajili ya kompyuta yako pasipo kutegemea internet bali moja kwa moja kutoka katika HDD / flash / DVD. DRP 13.0 moja kwa...
1 Reactions
19 Replies
12K Views
Naombeni kujua jinsi ya kuitambua sumsung original
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellloo, Msaada Jinsi ya kuconfigure Tunnel Guru , kila napo jaribu na pata error. Thanks.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama una laptop yenye tatizo hili ukiwasha laptop screen haionyeshi kitu ila inatoa tu mlio wa kubeep basi kabla hujaenda kwa fundi jaribu hii process ambayo nmwefanikiwa kuitumia kwenye laptop ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Nimenunua betri N40 Chloride Exide made in Kenya, swali langu ni pale nikishajaza maji (acid) yanayotakiwa mle katika level inayotakiwa nakuiweka juani kwa muda, Je: 1) Niifunge kwenye...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jinsi ya kuwasiliana kwa inbox
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nasubiria kwa hamu kubwa king'amuzi cha continetal, naomba mwenye uelewa kuhusiana na king'amuzi hicho na je mbeya kinafika lini na je knaweza kufika Rungwe hadi kyela? malipo yake yapoje na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara nyingi kumekuwa na mada, miziki kwenye TV ambayo huwa nataka kurekodi, wakuu embu nipeni simple way ya kurecod wakuu
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada wa yeyote anayejua nikitaka kufungua TV station kuna gharama gani za kujiunga na ving'amuzi? Tv ni ya dini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellloo, Msaada Jinsi ya kuconfigure Tunnel Guru , kila napo jaribu na pata error. Thanks.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nina Lumia 900 ipo locked kupitia AT&T. Nililipia kupata unlock code toka US naona wamechemsha wamenirudishia hela yangu. Nawezaje ku-unlock simu hii?
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Nina simu ya imegoma kuwaka. Simu hii alikuwa anatumia mtu. Sasa kuichukua nikai-format. Sasa ndo imegoma kuwaka. Inawaka ila haimalizi. Inaishia ktk ivon ya apple tu. Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka Mozilla Firefox iwe Start page (ili kila ninapofungua ianzie hapo na kunionesha baadhi ya Window vidirisha nilivyoviifungua ilinipotea baada ya kudownload game ikaja Ask Home Page...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
*Wale watu wa magroup whatsapp wametuletea kitu kingine kimpya yaani MUTE group for YEAR kama tulivyozoea hizi za WEEK basi utakuwa huna haja tena kurudia kuweka Mute kila baada ya wiki.. Check...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom