habari za mchana wana jamii forum
naombeni msaada,, ninataka kubadili picha huku nafanyaje hapa ndonilipokwama nimejaribu sana nimeshindwa kwa mwenye kujua naomba anisaidie
Habari wadau,
Naomba kufahamishwa, laptop yangu kwenye icon ya battery inaonesha eti no battery detected wakati battery ipo. Moto hauingii kwenye battery, ukizima umeme laptop nayo inazima...
Habari za jioni wana jukwaa, nina simu aina ya lenovo, kuna kijana aliichezea, sasa ameweka lock, kila nikiwasha inanidai lock, nashindwa hata kuitumia jamani, ninaomba msaada nifanyeje jamani...
Apple is partnering with Visa, Mastercard, and American Express to help make the next iPhone into an electronic wallet, Bloomberg reported Sunday. With the new feature, iPhone owners would be able...
Habari zenu wanajamvi, nahitaji kuconfigure server ambayo itakuwa inahudumia clients 5.
Nninamaswali 2 naomba mwenye ujuzi nayo anisaidie tafadhali
a) Naweza kuwa na network yangu inside public...
Wakuu naomba msaada wenu,
Mimi na ndugu yangu tumenunua Samsung Galaxy Note 3 Neo na tumekuwa tukizitumia ikiwa ni nimiezi 3 sasa. Hizi simu zina uwezo wa kubeba simcards 2, mimi natumia mtandao...
WanaJF naomba msaada jinsi ya kuifanya strong yangu irudi kuwa mpeg4 kwani sasa imekuwa mpeg2. Yaani nikitaka kuingiza bisskey inagoma pia neno option limepotea, na badala yake lipo neno OTA MENU...
Wadau,
Nimelikoroga kwenye simu yangu nokia 110. Nimedelete kila kitu kwenye device.
Najaribu kuupdate kupitia setting ya simu inagoma inaniambia, "no update provider found". Nimejaribu...
Wengi wetu tumekutana na hii kero ya matangazo(ads) pale tunapo browse internet, haya matangazo mda mwingine yanauzi sana maana wengine hatuyataki huenda kunyonya Mb za kwenye bando...
Poleni na kazi wanajamvi, kama kuna aliyewahi kutumia Nokia C5-3 naomba msaada namna ya ku-install whatsapp .
Nimekuwa nikitumia WhatsApp kwenye hii simu toka mwaka jana, sasa miezi miwili...
Salaam wa ndugu wenzangu. Kheri ya siku ya leo, Lengo langu wa ndugu wa jamaa wenzangu ni kuomba msaada wa mwenye kujua maujanja au jinsi ya kuunganishwa na hawa jamaa wa [bein sports] maana wadau...
Wana naomba sikilizeni. Mimi naona tunnelguru na tigo ni mizinguo mno kwa sababu tigo ni mizinnguo. Sasa nimepata idea, mnaonaje watu watest tunnelguru kwa kutumia TTCL Broadband kwa kutumia PD...
Habari wadau,
huawei yangu upande wa playstore inanionesha kuna application zinataka update ila nikijaribu kuupdate inaniambia insuffient storage available na nikiingia manage application naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.