Habari zenu wakuu, nawaomba sana kwa yeyote anaejua tatizo hili anisaidie.
Juzi nililala na kuiacha Laptop yang ikidownload movies, nimeamka asubuhi jana naikuta ikiwa on but screen ikiwa black...
Nina simu aina ya NOKIA XL, awali ilikuwa inaoperate watsapp vizur, lakini ilipo expire ikawa tatzo niki instal watsapp naambiwa ''Deviece not supported'' What can I do wataalam, msaada plz
Naomba kusaidiwa wakuu, nina flash ya toshiba 8GB kwenye pc yangu W7 32bit nikichomeka haionekani, nikihamisha kwenye computer ya jamaa 64bit inaonekana. Naomba kama kuna uwezekano wa kusoma...
natumia galaxy tab 2, bahati mbaya kuna vitu nlivifuta zikiwemo picha, video na documents, sasa je kuna application yeyote au namna ya kuweza kuvirejesha vile vtu vyangu vilivyopotea?
asante
Muda si mrefu kampuni ya Samsung imetangaza ingizo jipya katika smartphone za galaxy, Galaxy Alpha!
Ni simu nyembamba mno (6.7mm) na ina mwonekano mzuri sana. Tofauti na Galaxy S5 specifications...
Wakuu,mara kwa mara nimekuwa nikidownload application ya whatsapp kwenye simu yangu ya nokia C2-05 inakubali ila mara tu napoifungua inafail na inasomeka application failed,msaada wenu wakuu kama...
Nataka Kununua Laptop Mwez Huu, Je Ninunue Yenye Specification Gani? Mimi Ni Mpenz Wa Magemu Na Budget Yangu Ni Laki Tano, Tafadhali Naomba Ushauri.
Nitainunua Mwanza.
Habari wadau.
Nina mpenzi wangu ambaye saiz simuelewi elewi hivyo naomba kama kuna mdau mwenye ujuzi wa hii kitu aniconnectie namba ya huyo mpenzi wangu ili niweze kupata message zinazoingia...
Naandika post hii nikiwa kama majeruhi na muhanga baada ya vibaka kukwapua LG yangu, Kinacho niuma niliweka app nzuri tu ya kutrack kimeo changu lakini inaonekana mwizi wangu alifanya factory...
kwa wale affiliates wa mambo ya electronics .... naombeni kushare na nyinyi software inayoitwa YENKA ambayo ina weza ku simulate electronic circuits na kuzitest kama zinafanya kazi au hazitafanya...
Ndio niliyonayo na ninayoitumia katika s40, apart from option ya ku'delete, ina option ya ku'archive chat.
Ninachouliza, niki'archive chat, nai'retrieve vp wakati hakuna sehemu inayoelekeza...
Encryption tools exist to protect your privacy and also to make you feel like youre an awesome spy. Today well use a portable USB drive to hold all of your passwords encrypted in a virtual disk...
Hi wanateknolojia, mi natumia macbook air 13'.. sasa tatizo langu ni kuwa ninapo click kwenye facebook yani hapo juu, facebook haiji ila zingine zote zilizopo hapo juu zinakuja, tatizo inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.