Habarini za muda huu wadau ............
Jana nilikua nimeenda kwnye office moja posta kwenye jengo moja refuuuu! nilikua naenda gorofa kama ya 12 hivi. nilifika offisini vizuri nakufanya...
A USA standard TV screen with a built in High Definition support (DMI port) will work with any cable TV service in Tanzania that transmit HD signal. You don't need to use a PAL to NTSC video...
Habari,
nina hard disk ambayo ilidondoka ila kuanzia hapo nikiweka kwenye computer inahitaji kuformat na ukiangalia file system imekuwa "raw" badala ya ntsf/fat,
kuna msaada naweza kupata ili...
Kutokna na simu nyingi kukosa OTA UPDATE u can update ur android by flashing custom roms to ur phone. Most of famous custom rom include
1.cyanogen mod
Ambyo n maarufu na ss hv wanatoa update...
Habari wadau,
kuna jamaa yangu mmoja aliniomba nimsaidie blogu yake kwamba mtu akiandika comments
huwa hazionekani, hivyo alitaka nimsaidie kurekebisha nami kadhalika nimeshindwa kwa kuwa sijajua...
Habari wadau,
Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile...
Ukiwa Handeni internet yenye kasi ya 3G inapatikana kupitia mtandao wa Tigo.
Kwa karibu mwezi mzima internet ya Tigo imekuwa na kasi ndogo sana inapofika kipindi cha mchana. Wakati mwingine hata...
Kama ilivyo kwa siku hizi ambapo kila mtu anataka awe na simu latest, hali ilikua hivyo hivyo miaka ya 2000 ambapo simu ndio kwaanza zilikua zinaingia. Zifuatazo ni simu ambazo zilikua maarufu...
Wadau habar? nahitaji ku recover picha ambazo ziliseviwa kwenye CD. Data zingine zipo isipokua hizo piccha, zilifutika baada ya miezi kama tisa hiv. Nahitaji msaada wenu tafadhali.
Nataka kujua namna ya kuunganisha namba ya mtu ukawa unapata notfication wakati anapigiwa na mtu mwingine! Ebu mwenye kujua anambie unaiconect vip.
"AHSANTENI"
Wakuu heshima kwenu,
Budget yangu ndo hiyo nahitaji simu isiwe blackberry nataka kuhamia android na si lazima iwe mpya hata used iliyo ktk hali nzuri japo mpya ingenifaa zaidi. Mawazo na ushauri...
Dada yangu ana flash yake, aina ya sony 2GB. Akitaka kusave fike kwenye flash anaambiwa flash imewekewa write protection labda aondoe hiyo write protection. Ila ana mafile yapo kwenye flash...
Hivi kuna umuhimu wa kuweka screen guard katika Samsung tablets na phones?naona properties zinazotajwa katika simu hizo kama vile ni madhubuti zaidi kuliko kuweka hizo protector na kuongeza gharama!
I have a HD which i did not use for some after the motherbord of my DESKTOP collapse, now i want to use it as the external drive but it is asking for the admin password and i do not remember it at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.