Nina galaxy pocket original nimeitumia muda mrefu lakin ina kawaida ya kukwama kwa vipind katika upande wa kuandika msg na kupiga, kuna wakat inabid niandike msg kwa copy and paste. nimejaribu...
Salaam wana Jf, naomba kufahamishwa kukhusu hii kitu, kila nifunguapo PC yangu napata ujumbe huu "WINDOW HAS DETECTED AN IP ADDRESS CONFLICT another person in this network has the same IP address...
Habari za mudahu wana JF.
Natumia pc lkn chakushangaza kuanzi juzi imenza kuleta shida, Nimejaribu kulitatua mwenyewe lakin imeshindikana sasa naomba msada wenu
Nikichomeka flash kwenye pc...
Wadau nimekutana na hii kitu mara nyingi hasa kwenye showrooms unaambiwa gari hii ni cylinder 4 ile cylinder 6 na kadhalika.
Kwangu ni kizungumkuti, naomba kufahamishwa jinsi ya kutambua kwa...
Some one help me, I have this phone, it supports two sim cards but the one can support 3g network is limited to tigo, but im not a tigo funny when comes to internet services, I wish to unlock so...
Ni hatua chache tu za kufanya
1:fungua YouTube
2: search video unayotaka
3:nenda kwenye url ya hiyo video:- yaani ile YouTube.............
4:then futa kila kitu upande wa kushoto kuanzia hiyo...
Wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program, nimejaribu kudownload lakini ckufanikiwa. naomba sana msaada kutoja kwenu niweze kupata hii kitu. may God bless yhu all!
Habari zenu wajumbe.
Nimeweka window 8 kwenye PC yangu but kila wakati inaniletea notification ikinitaka ni update " go to setting and update window" nishafanya hivyo mara nyingi lakini tatizo...
Microsoft has announced plans to launch a new feature phone, the Nokia 130, later this quarter, but the phone could the the last such device the company releases as it moves forward with the...
Natumia desktop hp 60 HDD, 1GB RAM WINDOWS 7 32bits,
tatizo nikifungua faili lolote ndani kuna shortcut yenye jina la faili hilo.
Kwa mfano nimefungua faili lenye jina "KAZI" ndani yake utakuta...
samahani wadau mwenye uelewa namna gani nifungue opera mini anisaidie kwani weekend hii ilianza kugoma kufunguka sijui tatizo.
Nimejaribu kuupdate lakini nikifungua haifunguki tafadhari wadau...
Nawasalimu!
Tyt raum new model, imekuja na radio ambayo ipo kwa pamoja na tv, kilichojitokeza ni kwamba nimeshindwa kuitumia, haipigi cd wala dvd, haishiki fm station yoyote na haitoi sauti...
habari zenu? natumai mu wazima.
pc yangu ina tatizo kwenye keyboard, nikiwa na type herufi baadhi hazikubali, ila kuna mda zina kubali na mda mwingine zina kataa. naombeni msaada wenu
Hey guys, this is for those who like learning stuff. I wrote an article as a guest blogger on oh how to teleport elements to unusual places using media queries + a jQuery plugin, I included all...
wadau nimekumbwa namajanga kwenye memory card zile kubwa ambazo huwazinakuwa kwenye digital camera sasa mm yakwangu niyakwenye diagnosis machiney.
hiyo memory card kwapembeni kuna kama kijiswitch...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.