Habari wakuu.. Naomba kufahamu android application ya kutuma sms bure kwa mtu yeyote hata yule asiye na hiyo application au asiye na smartphone kabisa.
Wakuu hizi TV zinanikera sana.. Kwa yetote anayejua jinsi ya kuzifuta TBC na clouds TV kwenye star times anipe msaada nifanye hiyo kazi mara moja..!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wakuu habar za kaz,, natafuta iphone 5s iliyo fungwa kwa icloud tufanye exchange na lg optmus l9, naitaji kutumia kama spea. For more info. My no. 0769038065
Kila nikijaribu kufanya factory reset ya hii simu kwa kutumia njia ya kawaida yaani up, down na off, on button inashindwa ku wipe all data yaani inarudi kwenye hali yake ya awali ambayo imefungwa...
Naomba anaejua anisaidie kwani simu yangu ni samsung na inatumia android. Opera mini browser haiconnect internet lakini browser zingine zinafanya kazi. Sasa ni siku ya tatu na nahisi labda...
Na wasabahi wote hapa.
Usaidizi wakuu, kwa yeyote mwenye firmware-upgrade file ya satelite receiver DVB-S2 SPHE 1512 STB.
Nilikuwa nafanya upgrade FTA receiver yangu, kwa bahati mbaya file...
Habari zenu wanajamvi nilikua nataka kujifunza niatawezaje kumtumia mtu link kama wanavotuma watu kumtumia mwengine humu jf
Msada unahitajika Natanguliza shukrani jf
Habari zenu wanajamvi,
Nina cm yangu htc desere android v2.2.2 nimekua nikifanya jitihada kui Root cm yangu ila ngoma ngumu
Nimedownlod kwenye pc yangu kingo root app ila imeshindikana nimejaribu...
Wakuu niliedit file la human player kuweka "cheats" nikatumia notepad. Sasa kitu kimegoma kabisa kufunguka. Linanambia "invalid qvm format in file "humanplayer..."
Msaada kwa mwenye maujanja...
poleni na majukumu wadau. sasa nimeamua kuuliza humu hii samsung yangu mtu anaweza kukutumia sms ikafika vizuri bila shida tatizo message hiyo hiyo inaweza kuendelea kuingia kwenye simu ata siku...
Habari za leo wanajukwaa. wadau naomba msaada kwa anayejua tatizo la simu kuji duplicate sms. Simu
yangu ni samsung duos GT-S5303. Shida inakuwa ninapotumia sms moja inakuwa inajiduplicate...
Nimeona kwenye series mbalimbali hasa za wakorea kuwa wana taa automatic ambazo wakiingia ndani tu zinajiwasha na wakijiegesha zinajizima jee ni wapi InauWa au nani anaweza zitengeneza and what is...
Wakuu natumia Samsung Ace 2....hivi karibuni imekuwa na mtindo wa kujirestart kila ninapopigiwa simu, appl ikistack na muda mwingine bila sababu yeyote inayoonekana, inajizima na kuwaka!!
Naomba...
tafadhali wakuu naombeni ushauri kati ya hiz smartphone iphone and samsung galaxy, alf nasikia sina huakika ni kweli et kwenye iphone kila software ukitaka kudownload lazma uripie. msada please wadau.
Nashindwa ku-download mafile yanayozidi 4GB kwa kutumia IDM. Nimejaribu kwenye Windows 7 both 64 bit & 32 Bit bila mafanikio.
IDM yangu ni latest lakini pia ipo cracked. Nikibofya download link...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.