Ndg kwanza salamu.
Niliinstall program ya Folderlock kwenye PC yangu. Sasa katika kujaribu kulock nikalock program baada ya muda kila kitu kwenye PC kikawa shortcut had folderlock yenyewe...
Habari ndugu na jamaa nina iphone 4s tatizo langu ni kwamba hio simu ilifanyiwa jailbreaking na mimi nikai update ios kufikia 7.1 na sasa ikiwaka inataka kuactivate lakini inadai sim not valid...
Habarini wakuu?? Nina tatizo kidogo apa, jana nilinunua kingamuzi cha zuku, nikalipa na wakaja mpaka home wakafunga fresh, ila station zikawa hazipatikani wakatuambia baada ya mda zitakuwa hewani...
Wakuu habari ya jumapili. Nina Colour printer ya ofisi aina ya Konica Bizhub Minolta C 280 Niliisafirisha toka Dar kwa sasa ipo Arusha mjini. Tatizo tangu imefika hapa inakataa kufanya kazi, kwa...
One of the features that Google's Chrome browser offers that Firefox does not is the browser's built-in translation service.
Whenever you visit a website that is published in a language that you...
Salam wanajamii. nina hp laptop ambayo inachemka sana,nafikiri feni yake imeungua,pia ina tatizo la kuto respond,na kujibonyeza keyboard yenyewe na sometimes kuji lock. Msaada wa kiufundi wa...
Habari za leo wanajf!
Jana nimenunua s4 kwa mtu bado tu ina hali nzuri.
Nikaweka laini yangu kisha nika-restore ili nianze kutumia.
Nilipoingia playstore ikanielekeza apps za ku-update...
Nilitokwa na jicho nilipopanda ndege kwa mara ya kwanza. Air hostes akatangaza kuwa ikitokea umeme ukakatika ndani ya ndege (utadhani vile TANESCO) basi kuna life jacket, au boya la kuogelea chini...
nitawezaje kuweka au create post ktk website ambayo nime idesign mwenyewe!!?
huwa natumia dreamwave au antenna kudesign websites mbalimbali...sasa nataka kudesign web ambayo itakuwa ni ya news...
kwenye account yangu ya adsense inaonyesha hivi "Your ads have recently appeared on websites you haven't authorised. To avoid lost revenue, make sure that you authorise any sites where you display...
Google has admitted in an SEC filing that, in a few years, it could be serving ads and other content on refrigerators, car dashboards, thermostats, glasses, and watches, to name just a few...
Guys i come accross this site and here is the link where you can Calculate all the HUAWEI modem unlocking codes
It is working for
HUAWEI MODEL SUPPORT : E1550, E155, E156, E156G, E160, E160G...
The American is withdrawing from the Afghanistan, one of their command and control system (used for controlling the pilotless drones) was hijacked by the Talebans when the American transport...
Hi wadau kwa umoja wenu!
Nimefanya factory reset kwenye Samsung galaxy note 3; unfortunately data zote zimepotea(of course I was expecting).
Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa hata logo ya...
katika pita pita zangu nimekutana na hiyo kitu last week, at the time being nlikuwa sina simu ya kujaribia jana nimejaribu it works kwa all iphone models na ipad + ipod touch, the only backside ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.