Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
please JF nisaidieni namna ya kupata/kuziona namba za kin'gamuzi cha AZAM ili niweze kulipia kwa njia ya MPESA/TigoPESA?,kifupi mimi natumia kingamuzi cha STARTIME ila kuna ndugu yangu yupo mbali...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
naomba niwajuze watumiaji wa simu za android wanaopenda kudownload muvi kwamba kuna application inaitwa "Any movie downloader"ni nzuri aisee kwa kudownload muvi zote mpya na zaman kwa mb chache 2...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
nahitaji kunlock simu yangu ya huawei ascend y 300 inayotumia laini ya tigo tu niweze kutumia laini zote. please i need your help
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Wakubwa, mimi nimepata Office 2010 lakini ni copy. Nimefanya installation kwenye desktop yangu, sasa nina siku nimepewa alert kwamba nimebakiwa na siku 3 na kama sikuweka activation code itakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nataka Vodacom V875 kwa bei hiyo ya 70,000/-...kama upo tayari please ni pm!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
When Google revamped the look of Google Maps for iOS and Android, users were upset about the lack of traditional features. Some users were so upset, the option of reverting to a much older...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam JF pipoz. Kuna baadhi ya websites na Blogs huwezi copy ama ku-save picha, articles nk hata ku- highlight articles huwezi. Sababu ni right click option is disabled ukijaribu ku-right...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Computer yangu hua inajizima ghafla lakin screen hua na rangi ya blue wakati mwingine rangi nyeusi au nyeupe,niki istart inaendelea kufanya kazi kama kawaida kwa mda alafu tatizo linarudi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hey guys! i bought a chineese phone from karikoo and someone configured internet for me and i paid 5.00/= now imepkata tena hata nikiweka bandle zii. naombeni msaada
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama kichwa hapo juu kinavyojieleza shida yangu nikutaka kupost video hum janvini nifanyaje?? mfano nimerecord video naipo kwenye memory card nikitaka kuibandika hapa jamvini nifanyaje?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina modem yangu ya HSDPA ambayo huwa ninaitumia kwa line ya mtandao wowote wa simu lakini jana nimejaribu kuweka line ya voda na inasema ujumbe huu:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, jana nilikuwa na field trip iliyokuwa na mateso kidogo na nilibahatika kupiga picha.picha hizo baadhi yake niliwarushia marafiki lakini kufika jioni hazionekani kwenye bali ni rangi nyeusi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba kusaidiwa kwa kufahamishwa jina la kifaa na undani wa teknolojia inayotumika katika vifaa vinavyo-interprete lugha katika kumbi mbalimbali za mikutano ya kimataifa. kwani mara nyingi...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi! Kwa muda nafuatilia sana jinsi mchanganuo wa hizi simu za Tecno, ila inasemekana kama mtu ukiwa kwenye eneo ambalo tunatumia EDGE inasumbua sana. Je kwa simu nzuri ya Huawei ambayo...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Wadau nna desktop yangu inazingua, kila nkiwasha kwanza inaniletea notification kuwa flopy disk failure then drive 4 and 5 are not available Sasa tatizo lenyewe ni nikiweka modem, modem inawaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu wanajamvi,nina programu ya adobe photoshop 7 ila sina elimu nayo kwa wenye kunipa mwanga walao kidogo... Natanguliza shukrani, Tz12
0 Reactions
4 Replies
2K Views
msaada wakuu wa TECH funguo za adobephotoshop, ni ipi nzuri AFS(Adobe Photo Shop)?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
napenda kuwapongeza kwa kazi ya kuelimisha umma naomba kufahamishwa namna ya kusolve tatizo la sd card demaged maana 8gb yang haisomi kwenye smu naambiwa niireformat ila nkijaribu haikubali...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
Background kwenye adobe photo zimejifunga na nimeshindwa kufungua kabisa. Nimejaribu kugoogle lakini njia ninazopata hazisaidii kabisa Ku unlock background. Nimejaribu Ku double click na kuweka...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumetokea wimbi la wizi wa kuforward message Feki za hizi mobile payments kama MPesa Tigo pesa etc. Je hii inatokea vipi? Na njia gani ya kuzuia maana nahisi sio rahisi mwizi kufanikisha hili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom