Nina simu yenye android lakini ninachoshindwa ona ni sms nilizotunza kama draft sms nilipokuwa natumia SIM kwenye hanset tofauti na hii inayokwenda kwa android. Nikitoa SIM hizo na kuweka kwenye...
Mimi ni fundi wa vifaa vya electronics,lakini nimekuwa nikibishana na mafundi wenzangu kuhusu Generator kwamba inapokuwa na mzigo mkubwa(vifaa vingi) ndivyo mafuta yanavyoisha haraka? Kwa uelewa...
Wadau
Nina HP Server DL360 G7 ambayo imepata matatizo na haiwaki..ila kuna data ambazo zipo very sensitive kwenye hard drive zinatakiwa by today!!!!...naomba msaada wa anayeweza kutoa huduma...
Wadau wa jf najua humu ndio kila kitu.Mimi nataka kujua jinsi ya kutumia simu yangu kama gps receiver.Mimi natumia TECNO M3.Natanguliza shukrani kwa atakaye nisaidia.
Habari wadau, nina hiyo laptop tajwa hapo juu ukichomeka adopter taa ya kwenye adopter inazima. Kwa mliowahi kutana na tatizo hili au kufahamu namna ya kulitatua tafadhali msaada wenu unahitajika
Jumapili nimejiunga na kifurushi cha yatosha cha wiki namaliza kujiunga mda huo huo mb zikawa 0 nikawapa taarifa na mkakiri tatizo hilo lipo mkasema system yenu ya data inazingua ila mtarudisha...
Naomba msaada jinsi ya kufanya ili king'amuzi cha star times kirudishe channel za hp tz nimejaribu auto search pia kimekataa,zilipotea baada ya kufanya manual search kwa code 531,hope nitapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.