Habari ya jioni wana jamvi..... ninaombeni msaada wa kuifungua simu aina ya LG niliweka pattern sasa nikasahau nikazidisha kujaribu HATIMAYE IMEJILOKI... INATAKA NIWEKE EMAIL NA PASSWORD, Lakini...
kwa sbabu nimekuwa nikiona thread nying za imdb humu na mm nikaamua niidownload ila lkn nimeshindwa kuitumia so msaada wenu naombeni mniekeze na mi nijue sbbu inaonekana ni app bomba kweli
Je wewe ni mpenzi wa Documentaries?
Je upo nyumbani bored?
Kama jibu ni ndio.
Ingia kwenye hii link kuna Documentaries zaidi ya 2,000 zenye quality ya 720p na 1080p...
Nimechukuwa form ya kujiunga na internent bank ili niweze kufanya online transaction sasa hapa chini kuna nafasi tano za account to be linked unazipataje
Wataalamu wangu wa hapa JF,
KIchwa cha habari hapo juu kinahusika sana.
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuunganisha internet kwa USB MODERM, kwa upande wa wireless haina shida kabisa.
Natanguliza...
nina compaq presario ilikuwa na windows vista nikabadilisha nikaweka ubuntu lakini USB ports zote hazikufanya kazi baada ya kubadilisha, sasa nataka kurudisha vista inashindikana, nimejaribu...
Naomba msaada hivi sasa nashindwa kusoma wavuti za Facebook na Jamiiforums kwenye laptop yangu ni mara chache sana zinaweza kufunguka,hili tatizo limeanza karibuni tu hasa baada ya spidi ya...
APPLE MBIONI KUINUNUA BEATS
By Mwandishi Wetu
20:59
Teknolojia
Kampuni ya Apple imo mzungumzoni kuinunua kampuni ya Beats Electronics watengenezaji maarufu wa headphones na watoaji huduma...
Habari za jioni wanajamii? Naomba maoni yenu juu ya hizi power bank zinaitwa Techmate zenye mAh 10000.
Hapo napenda kujua ubora wake na vitu kama hivyo...
Nimejaribu kupitia kwenye mtandao wao...
Habari zenu wakuu..
Naomba msaada wa kiufundi kwa yeyote aliye na uzoefu na hili tatizo. Nataka angalia hulu,netflix au iplayer nikiwa hapa Tanzania. Kama mjuavyo pindi unapoingia tu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.