Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
0 Reactions
2 Replies
284 Views
Nahitaji mtu mtaalamu wa kutengeneza website pamoja na APP awe mbobezi na mwenye uzoefu wa kutosha kama upo tayari wasiliana nami kupitia whatsapp namba 0685451700 Asante.
1 Reactions
3 Replies
770 Views
Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Ninashida ya operating system ya tv yangu pinetech model no PT55-E1 smart 55' na cjajua namna ya kutatua tatizo coz ikiwaka inaandika "PINETECH" halafu inaandika tena "Android" inagandia hapo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wataalam wa Xiomi nilikuwa natumia A seeies za Samsung ila now nataka kuingia Rasmi XIOMI Naskia hzi simu ni nzuri sasa naombeni kujua kwa Bajeti ya laki saba hadi laki nane. Xiomi toleo...
8 Reactions
91 Replies
7K Views
Wakuu habari.. Kuna mtu anaweza kunisaidia kupata IMEI No, za cm yangu android Maana siku Zi save popote... Na simu imeibiwa.. so nataka ku track nijue , ipo wapi, na nimpate aliye chukua...
1 Reactions
5 Replies
581 Views
Salaam brothers and sisters, Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets...
0 Reactions
4 Replies
431 Views
Kuna simu nyingi tu na zina design tofauti tofauti lakini kuna baadhi zimetokea kunivutia kutokana na kuwa na design zilizokuwa inspired na strong creativity. Mfano wa simu hizo ni hizi hapa...
13 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki) Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji...
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza!! Nimeamua kwa moyo mmoja kuanza jifunza programming na sasa nimeanza na PHP katika back end!! Naombeni ushauri wenu, je nisome vipi ili niweze kui...
0 Reactions
95 Replies
13K Views
Habari... Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Wanajamii forum kwa yoyote anayejua mfumo au jinsi ya kucheza zile mashine za bonanza ikiwemo teknolojia na weakness za ile mashine tujuzane humu tupate elimu
1 Reactions
38 Replies
26K Views
Habari zenyu wakurungwandu. Nisiwachiahe na hizi swaum. Nijielekeze kwenye mada moja kwa moja. 1. Nahitaji fundi wa projector aina ya Epson. Shida yake ni kutowaka 2. TCL flat screen 42'...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Habari zenu Wana JamiiForums, TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu. Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye...
5 Reactions
89 Replies
11K Views
Nahitaji mtaalam wa electronics ili ani choree mchoro wa sakiti kulingana na wazo langu,,PM
1 Reactions
2 Replies
416 Views
Habari zenu nataka nimnunulie mama yangu simu kama zawadi ya birthday nimeandaa budget ya laki mbili mpka mbili na nusu naomba mnishauri ni simu gani nzuri Ukizingatia muonekano na camera nzuri...
1 Reactions
7 Replies
598 Views
Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao...
0 Reactions
5 Replies
568 Views
Kwa vile JF ina kila mtaalamu, ninaomba msaada wa kujua ni nini sababu ya simu kutumia data kupindukia. Mb zinakatika kama umeme. Hapo awali haikuwa hivi. Hii simu ni mpya. Ahsanteni.
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Moja ya swali nililokuwa najiuliza sana ni kwanini makampuni yanayotoa huduma ya internet kwa fiber optic cable yanashindwa kusambaza fiber kwenye maeneo mengi ya watu wa kipato cha kati ambao...
16 Reactions
70 Replies
6K Views
Back
Top Bottom