Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Robotics imeundwa na vitu vitatu Umeme Mechanical Os(Operating System) Umeme -->>>>electronics engineering Mechanical --->>>mechanical engineering Os ------- Software Engineering Kuja na...
1 Reactions
0 Replies
308 Views
Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye...
5 Reactions
59 Replies
8K Views
The Vice Assassination is the third assassination mission given to Franklin by Lester and represents an opportunity for enormous investment return in the Stock Market for Fruit and Facade. It is...
1 Reactions
10 Replies
796 Views
Kwa wale mliowahi kucheza game za gta ety. Mpaka uwe unajua kiingereza ndio uliweze mission zake watu wanaisifia Sana hasa San Andreas, niliwahi jaribu kuidownload mwanzo tu nashindwa kujua...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau wa ADSENSE nahitaji blog na ADSENSE yake kwa anayeuza
0 Reactions
9 Replies
511 Views
Wadau wa tech sijawai kukosa majibu. Kweli watu wa tech ni smart and generous. Watu wa jukwaa la sheria tutawajadiri siku nyingine. Sasa katika kutafuta njia ya kisasa ya kutunza movies nikahis...
0 Reactions
3 Replies
405 Views
Exercising Demons - Trevor is a Strangers & Freaks side mission in Grand Theft Auto V given by Mary-Ann Quinn, involving protagonist Trevor Philips. The mission becomes available after completing...
1 Reactions
0 Replies
446 Views
Hii habari inasikitisha sana sana na wanazuoni wa Kenya na Afrika kwa ujumla! Kijana wa kichina ame hack page ya chuo kikuu na amewaomba wampe USD 500 Awarudishie page yao! Kabarak Uni wana...
2 Reactions
9 Replies
722 Views
Akaunti yangu ya GMAIL imefungiwa sijui kwa kosa gani na sijui namna ya kuirudisha naomba msaada kwa mwenye kujua anisaidie..
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Wagwaniiiii..? Kama umefatilia mitandaoni Kenya kuna gumzo baada ya mwamba kutoka Indonessia ambae amehack page ya chuo cha karabag ambacho wanadai kinadeal na mambo ya it lakini wamehakiwa na...
2 Reactions
6 Replies
634 Views
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza...
6 Reactions
111 Replies
5K Views
Hello: Nina 450k nataka kununua simu nzuri kulingana na bajeti hii. Je, kati ya: 1. Infinix Note 10 (RAM: 4GB, ROM: 128GB, Bettry capacity: 5000 mAh, Android 11, size 6.95 inches, IPS LCD...
6 Reactions
142 Replies
14K Views
Hatimaye Microsoft wamesema windows10 22H2 ndiyo version ya mwisho. Kuanzia Sasa akutakua na Tena na muendelezo wa window 10. Latest version ya 𝗪𝗶𝗻𝗱𝗼𝘄𝟭𝟬 ndiyo itakua ya mwisho akuna Tena window...
1 Reactions
3 Replies
594 Views
Leo ninaleta brand za simu zenye market share kubwa zaidi duniani ili kukuruhusu kujua ni simu za kampuni gani zinauzwa au zinapendwa sana duniani . Bila kupoteza muda naanza 1. Duniani kiujumla...
27 Reactions
544 Replies
21K Views
Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na...
4 Reactions
114 Replies
12K Views
Habar zenu Jamani Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA. Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI...
23 Reactions
450 Replies
31K Views
Tafadhali husika na kichwa Cha Uzi huu. Awali Nilidhani Ni "dark mode" lakini siyo. Nilinunua kwa mtu ikiwa hivyo
1 Reactions
16 Replies
577 Views
Salama humu. Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read' Swali lifuatalo ni je hakuna simu...
1 Reactions
9 Replies
601 Views
Wapendwa habari za wakati huu, Samahani naomba kujua Kati ya google pixel 6 plain na IPhone 11 Nani mkali zaidi katika camera, betries, storage, quality na mengineyo mengi mengii ya ndani msaada...
2 Reactions
133 Replies
9K Views
Back
Top Bottom