yeyote ambaye anajua jinsi ya ku convert PS2 ISO game to elf anijulishe......
Thanks..
[MENTION]Usitumie KICHWA kufugia nywele tu, kitumie zaidi KUFIKIRI.[/MENTION]
:majani7:TOOLS YOU WILL NEED (ADOBE AUDITION)
in your Grand Theft Auto Vice City / Audio folder you will see a bunch of mp3's
you wanna find
malibu.mp3
strip.mp3
stripa.mp3 (short clip only...
kwa wale ambao wenzangu na mimi hawawezi kuisubiria fifa 14 full version unaweza kujaribu kucheza demo yake na kuona inafananaje unaweza kuchukua mzigo hapa Download the FIFA 14 Demo | FIFA | EA...
Wadau nina dish na king'amuzi changu sebuleni lakini kutokana "ushindani" wa kuangalia Tv kutoka kwa watoto, ndugu na hg imebidi nitafute tv nyingine nimeweka chumbani
Najiuliza naweza kununua...
Google and Intel introduced three new Chromebooks and a Chromebox today, each running Intel's powerful Haswell processors. The announcement came onstage at Wednesday's Intel Developer Forum...
wakuu naomba tubadilishane na kuelimishana hapa juu ya wewe unachokifaham au kujua juu ya magari yetu ukifungua bonet na kuitazama engine yako lazima utakutana na haya maneno VVTI, GDI, VVTI and...
Wandugu nimenunua laptop , sasa nashindwa kuconnect na internet ya cable hapa ofisini , pia kila niki install anti virus kaspersky ina kataa ni kiweka activation code.
Salam kwenu wana JF....Nina tatizo kwnye laptop yangu kwa hizi siku tatu zilizopita nalo ni Youtubu, Megashare, Daily Notion na baadhi ya mitandao ya kustream kuniletea ujumbe unaosema "couldnt...
When you first turn on you computer (BEFORE DIALING INTO YOUR ISP),
open a MS-DOS Prompt window (start/programs MS-DOS Prompt).
Then type netstat -arn and press the Enter key.
Your screen should...
Juzi kati nimedondosha modem yangu kwa chai na despite my best efforts ikafa kabisa. so nimekuwa sipo hewani siku kadhaa. niliazima modem ya jirani juzi, na usiku huo ikani impress sana (6GB...
msaada wakuu natumia huawei; whatsapp yangu haitumi picha ambazo zipo kwenye gallery yangu. Ila hapo nyuma ilikuwa inatuma.
nimejaribu kui'delete na kuinstall upya but am still facing the...
Mambo vipi wakuu naomba mnisaidie mwenzenu...simu yangu nikimpigia mtu yeye ananiskia vizuri sanaa bali mimi simsikii yeye hata kidogo..je hilo linaweza kua tatizo la nini ..na linaweza kutibika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.