Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu hii Jf app inasumbua sana kwenye iOS, yani kuclik ili uanze kuitumia inagoma kabisa sijajua ni vile niko nje ya tz ama ni wi-fi ya hapa kwangu, mpaka sasa niende kwa desktop. Kuna mtu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii,napenda kuuliza nimekuwa nkiona majadiliano ya jinc ya kuitambua cm ambayo inabetr inayotunza chaji mda mrefu hasa kupitia specification za simu husika.Binafs yangu bado sijaelewa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
ni HP 620..nimepitapita maduka hapo posta bei yake ni 150,000/= kwa hiyo kama kuna mtu anafahamu duka ambalo wanauza bei cheap kidogo tafadhali anisaidie....ila nikapacheki ahsanteni na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
IPIGIE KURA BLOG UIPENDAYO KWENYE SHINDANO LA BLOGS TANZANIA Ili kushiriki bofya hii link Survey provided by kwiksurveys.com Hivi ni vipengele utakavyopigia kura ​ The Best...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nina laptop aina ya LENOVO (ThinkPad) mpya niliitoa hard disk ilinifanye installation baada ya kushindwa kuboot from CD, baada ya kuinstall window na kuirudishia kwenye laptop ina display...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa mawasiliano ya wakala wa bidhaa za sony hapa Tanzania maana nimetafuta pasipo mafanikio au kama kuna mtu anajua bei ya SONY DAV TZ-130 BRAVIA kwa hapa Tanzania anaweza kunisaidia...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Heshima mbele wanajamvi !! moja kwa moja naenda kwenye hoja.Kuna jamaa yangu ana SONY EXPERIA T katumia kama miezi miwili anataka kuniuzia kwa 500,000/= Kwa mwenye uzoefu naomba kujuzwa hii simu...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Naombeni msaada wanajf kwenye hili tatizo langu la hii memory card nnayotaka kuiformat kwenye PC tatizo lake hadi nataka kuiformat ni kwamba ina data lakini hazionekani ukiifungua unakuta empty...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ili ikipotea uweze ipata mwenye uelewa anisaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
sasa hivi kuna mambo mengi kwenye ulimwengu wa technology na hasa hizi tv za online kama za apple, google na sasa sony. ila zote hazijanivutia mpaka leo sony walipotangaza tv yao kidogo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wakuu. Naombeni kama kuna mwenye ujuzi wa kufungua (unlock) simu ya Huawei "Ascend y300" anisaidie maana inanitesa kweli haikubali line.zingine.zaidi ya Tigo, nikisafiri kwenda...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Wadau naomba msaada wa kupata unlimited internet ili niweze kudownload movies na mafaili mengine makubwa. Hivi sasa natumia bundles za Zantel na Airtel na ninatumia fedha nyingi.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Salaam wakuu, Katika pita pita zangu nimekutana na hawa jamaa wa Bleeping computers ambao wapo located states kwa kweli wanaforum kubwa sana na mambo yoote kuhusu computer yapo tena yana...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Wadau wa IT. Tupo katika mchakato wa kutengeneza software application (web based application), itakayowezesha customers wetu kutazama financial reports mbalimbali kama vile Stocks, n.k Baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Password kwenye Bios dell e6400 mwenye kujua namna ya kutoa plz.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Kuna jamaa wangu menitumia iPhone kutoka US but ni zile ambazo hazitumii kabisa line ya simu (nafkiri kwao huko wameadvance sijui wanatumia utaalam upi). Is there any way...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kila nikijaribu kuweka window inaniletea ujumbe huu.... "The file ohc I1394, sys corrupted" nimejaribu kubadili hard disk lakini ujumbe unajirudia tu.. kwa anaejua tafadhali.!
0 Reactions
3 Replies
805 Views
wana jf naomba kujunzwa juu ya aina ya laptop nzuri kwa kuzingatia Ubora, uimara, aplications , charge storage, bei kulingana na thamani yake na vinginevyo ! itanisaidia mimi na atakae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajumbe, natafuta fundi wa kutengeneza (Kurepare ) blood pressure machine ya digital.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom