Salaam wakuu,
Juzi baada ya kupata majanga ya hard drive fail ilibidi nifumbe macho nakureinstall windows (good thing I had a backup drive). Sasa ishu inakuja baada ya kuinstall browser ya google...
a
wakuu nilikuwa naomba msaada wenu juu ya hii kitu nilikuwa nai hitaji sana so sijui naweza ipatapata vipi .kuna sehem 1 nimeiona kwa fundi 1 hivi lakini nimejaribu kumuuliza kanibania kunambia...
Kuna simu moja nimeiona kwenye website moja kwa kweli iyo simu ni kali na bei yake iko poa, kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia kununua .
simu vyenyewe ni HDC One copy original ya HTC one
kampuni...
habari wanajamvi.. nimekaa nikajiuliza maswali kadhaa kuhusu watsapp na viber security zake ziko vp. hapa namaanisha kampuni zetu za simu zinawezaje kukeep record ya mawasiliano yanayofanyika...
this is the special offer from jahazi.net
karibuni sana ni offer ya muda tu kwa yoyote anaetaka kutengenezewa website ni kuanzia 100,000 tu
kwa bei ya laki moja inajumuisha pamoja na free domain...
How to Use a Windows PC as an Internet HotspotIt's a device-laden world out there, and that means we all have numerous Internet connections to maintain when we're out and about. One solution is...
Itaanza kupatikana tarehe 25 september sawa na samsung note 3 ambayo imetangazwa muda si mrefu uliopita,maswali ya kujiuliza katika wearable gadget hii ni kama vile je ina application za...
Why is Internet access still expensive in Africa?-By Tom Makau
Early 2009, the African continent was heavy with expectation as several fiber optic submarine cables landed on its shores. This...
Natumia modem ya airtel model MF 190 tatizo inakuwa inakata sana hadi niondoe na kuconnect upya tatizo ni nini? na nifanyanye nini ili kuondokana na tatizo hili maana bundle hupotea kama...
simu yangu ni nokia E-6 kuamkia leo asubuhi line yangu ya voda ilishishdwa kusoma kabisa network lakin nilivyojaribu line zingine(airtel,zantel,tigo) zilikubali na nilipoiweka ile line ya voda...
natumia samsung GT-c3312 kila nikidowload uc browser inakubali ila nikiifungua ili nianze kuitumia inaandika error nifanyaje ili niweze kuitumia hii browser naikubali sana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.