With all the top smartphones in the world boasting their quad-core processors and Full HD displays, it's harder and harder for an individual to really stand out. With the Xperia Z, Sony made a...
The first human-to-human, brain-to-brain noninvasive interface has been created by researchers at the University of Washington. The system allows one researcher to remotely control the hand of...
Our Best Selling Mobile SMS Services In Tanzania:
1. Subscription Services:
Schools, fisherman, and other small businesses use Telerivet to build subscription service that updates a large group...
Wana Jf laptop yangu (toshiba c-660 2E4) keypads yenye namba upande wa kulia (numeric keys) haifanyi kazi.
Naombeni ushauri wa kiufundi kukabiliana na dhahma hii.
Nawakilisha.
Wakuu sana JF,
Nina mpango wa kuanzisha radio lakini sijui vizuri taratibu nianzie wapi na watu wa TCRA?
Naomba kujua ni nini natakiwa kuwa nacho mbali na vifaa/mitambo?
Je ni form zipi natakiwa...
Does the glass on your mobile device sport more cracks than a frozen lake in springtime? Never fear -- this is a repair you can handle yourself. It's actually quite easy, and cheap, to replace...
Jamani na tatizo kidogo l hv samsung siii mini inaniambia phone memory imejaa....ila external memo ina nafasi nachotaka ni kumove application from phone memory to memory card
naombeni msaada wakuu, nimepata ka IDEOS ila kamegoma kusoma internet kabisa, nimeenda kwenye wireless and internet, kisha mobile network nika accept data enable lakini hakuna kitu, CHIEF MKWAWA...
Ndugu wanaJF habari,na2maini mu wazma kwa baraka zake Allah.Napenda kujuzwa kuhusu hii k2 ,nimekuwa nikiona kwenye specification za cm mbalimbali bluetooth zna differ ukubwa .swali langu ni je...
Wadau ni nani alishawahi kufanya biashara na hii site ya Kivuko.com
Kuna mziggo nataka kuagiza kwao ila nina wasiwasi isije ikawa ni matapeli nikalizwa kama kuna mtu humu ndani alishawahi kufanya...
Natumaini mu wazima wa afya wana jamii
nilikua naomba kusaidiwa wakala wa HTC mobile mwanza wako mtaa gani ikibidi mnipatie na mawasiliano yao
nawasilisha.!
Nimeitoa gsmarena, ingawa haijawa announced officially. Ila board ya wana BB wanampango huo wa kuiuza.
Hii inaweza kuonekana tokea pale BB walipoiachia unique feature ya BlackBerry "BBM" kuingia...
Kwa wanaotumia satelite dish dogo la KU KWA DAR ES SALAAM kwa FTA,tafadhali nijuzeni ni FREQUENCIES ZIPI ZIPO ACTIVE KWA DAR? Na signal strength zake zikoje? Dish size gani unapata bila tabu AMOS...
Nimekuwa nikitumia moderm ya AIRTEL ili kupata INTERNET kwa miezi miwili sasa imekuwa haifungui kabisa kuna wakati inafungua page moja tu inagoma,nikaamua kununua moderm ya VODACOM nayo inakataa...
Baada ya kushindwa katika game kwa muda mrefu, hatimaye kampuni ya simu za Nokia imedhamiria kuamisha mzigo kwa Microsoft kwa kiasi cha Dola Billion 7.17 (11.8 Trillion TSH)..
Microsoft to Buy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.