Hello guys! Nimepewa computer ambayo inatumia window ya 'true fast' .Nataka niformat ili niweke window xp2 ; Tatizo ni kwamba nilipoweka CD ya window, kuplace any key, baadaye zinatokea sekunde...
Naomba nisaidiwe,laptop yangu screen inakuwa inacheza cheza ina siku ya tatu sasa..nikiiwasha inatulia baada ya mda inanza huo mchezo.shida ni nini na solution yake ni nini naomba nisaidiwe..
Computer forensics is a new and exiting field that is gaining popularity. Because of the complexity and legal boundaries,
few truly understand what skills are required to be an effective computer...
Inasema start up repair -windows cannot repair this computer autmatically
problem signature:
problem event name: startup repair offline
problem signature01 : 6.1.7600 16385
problem signature02 ...
Wadau, najua humu ndani kuna watu wenye utaalamu wa kuchora ramani. Nimependa ramani ya nyumba yenye features zifuatazo:-
MASTER BEDROOM, iwe na toilets, dressing room na internal minor office...
Habari wanajf. Simu yangu haitumi sms but naweza kupokea sms. Kila nikituma inasema failed. Sijajua tatizo nataka kuona kama message center number ni tofauti kwani kwangu inasomeka +25575114.
Heshima mbele mkuu, kuna program (AUTOCAD) imegoma kufunguka kwenye pc yangu hapo awali ilikuwa ikifunguka na ku-function vzr tu, kama siku 3 sahv ukii-click kasa inaload 2 kwa sekunde chache then...
:help:
Nahitaji kupata Channel local za bongo zote na za kimataifa.
yaani like having DSTV + Startimes.
jee do i have option ya integrated decoder ya kuweza kupata zote at the same time...
Wakuu habari,
Nngependa tujuzane hii kitu kwa undani zaidi, hasa wale wadau wa umeme na wireless sensors kwa ujumla. Nmekua inspired na vjana watundu haswa wa mitaani tu wanaobuni simple...
kuchange date ya pc co ujanja ili kurun trial softwares.
Sasa:
download RUNASDATE hii utaipata google, kisha ucjeuka open directly icon ya program yako ilo trial but 2mia Runasdate.
Mahali : InCo Technologies T Ltd, Emirate House - Shekilango Road
Mda: Saa 12:30 jioni hadi 02:30 usiku; kuanzia tarehe 19 Agosti 2013
Content: Linux Essentials (LE) as per http://lpi.org
Ada...
Rais Kikwete mwenyewe kakutumia friend request?Sasa hivi mbona utajua kwa urahisi tu, shukrani kwa feature mpya ya Facebook : Verified Pages.
Kama ilivyo kwa verified accounts za Twitter...
Naomba wataalamu mnisaidie,nina simu yangu nokia 2700 classic kila napotaka kudownload mafile ya pdf,inaniambia link not available.je ninatakiwa nifanye nini kwenye setting?nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.