Juzi wakati Google wanatangaza kuzindua Jellybean 4.3 na Nexus 7 wamekuja na haka kakitu kwa ajili ya Ku stream video na audio moja kwa moja toka kwenye TV yako kutumia wireless na port yako ya...
Nimenunua Iphone 4 kama Mwezi mmoja uliopita, Nimekuta kuna version ya 6.1.3.
Nataka kuistall Siri kwenye hii simu, Je nifanyeje au wapi naweza kwenda na wakaniwekea hii kitu?
Kwenu wadau...
Aljazeera sports win Premier League rights
Al Jazeera Sports revealed through screens Friday evening that acquired the global rights of the Premier League
Al Jazeera Sports won the rights to...
DISCLAIMER: This information is intended for
experienced users. It is not intended for basic
users, hackers, or mobile thieves. Please do not
try any of following methods if you are not...
Wadau nimehamia sehemu kuna network ya wifi 24/7 tatizo inataka password
natumia hp laptop os windows 7
msaada kama unajua jina au link ya softwares nzuri kubypass password nipunguze ukali wa maisha
Ikiwa huduma za VPN zinazidi kupamba motto na bei inazidi kushuka kabisa
Na mm leo nakuja na DROID VPN kwa watumiaji wa Simu za Android na Tablets
Utafaidi Unlimited internet kwa bei ile ile(mm...
Jamani naomba kuuliza; kwa sababu kuuliza si ujinga, na kila aulizae ataka kujua. Kuna hii MITANDAO mitatu; Skype, eBay na Amazon; Je kila mmoja kati ya hii MITANDAO mitatu unajishughulisha na...
Hi guys,
Naomba msaada. Hapa galaxy S betri ishakufa. Yaani ukicharge 100% haidumu 2hrs ktk 3G. Nataka enda kununua betri. Sijui nitaijua vp original? Na bei yake vipi?
Msaada Please.
Msaada ndugu zangu nilikuwa na unloack zte mf190 kwa bahati mbaya nikafuta dashboad ya airtel ndipo nikaamua nii update firmware lakini baada ya ku update likaja tatizo kwani dashboad ilikuja ya...
Wadau kuna mtu anahack gmail acc yangu, nimecheck IP address yake nikiitrace namuona mara nyingi yuko Dodoma and sometime abroad. Nimechange passworld several times lakini wapi jamaa anaingia tu...
Kwa ambae anatumia, au ana ufahamu na simu aina ya Asha 311, naomba kufahamishwa matumizi au kazi ya kifaa/mfumo ulio wekwa kwa mbele ya hii simu umekaa mfano wa front camera lakini sidhan kama...
jamani wandugu kuna hii kitu inanikwamisha msaada tafadhali,kwa mfano una vyumba kumi,ukitaka kuweka tv kwenye kila chumba na kila tv iunganishwe na dstv decoder yake,lakini hizo decoder za dstv...
nadhani watumiaji wa Airtel wanajua kuwa jana mtandao wa Airtel ulikuwa unasumbua katika kuingiza vocha, tatizo liliiisha hiyo hiyo jana lakini late sana watu wameshaathirika na tatizo. leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.