Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
KWA wale watumiaji wa android kuna application ya keyboard ambayo imenivutia sana. hivyo nimeamua kushare na wataoipenda kuijaribu. inaitwa multiling keyboard. kama kawaida 1. una install kwanza...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nikifanya mimi napata kitu hii tokana na skills nilizonazo But, natafuta skills zaidi nipate kufanya kama hii, yaani instructions like hapa weka your name zionekane ndani ya Box, hapo ndo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za mchana,naombeni mnisaidie kwa anaefaham utatuzi wa swala hili,nna blackberry curve 2 (blackberry 9300) ambayo nimeinunua kwa mtu,tatizo nikitaka kudownload applications huwa inarequire...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Brustincome.com Earn Money by referring Links - 1$ per link visit
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niaje experts wa nguvu , eti hivi hwa startimes tunaanzaje kuwachakachua vocha zao, niambieni maujanja tuwa komoe kama wanavyo komoa wanyonge wnz2
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Android 4.3, Jelly Bean Android 4.3, an even sweeter Jelly Bean, is available now on Nexus phones and tablets. Restricted profiles limit access to apps and content, at home with your family and at...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
wajuzi saidia jaman. nilifanya factory settings kwenye simu yangu nokia c2-3 then memory card inadai password na sijawai kuweka password kabla. sasa anayejua namna ya ku unlock anisaidie mana kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
download fring
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Wanasema Scammers walikuwepo hata kabla ya internet kuaza lakini Internet imewafanya wafanye kazi yao kwa umakini na uwezo mkubwa zaidi. Sasa Hivi Facebook ndo nyumbani mwao yani wamejaa mpaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomben msaada kujua kama hii simu ina option ya blacklist na kama ipo n jinsi gani naweza kuweka contact kwenye blacklist. Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Habarini wakuu! naombeni msaada kwa hili jambo! kuna hii kitu niliiona sehemu nayofanyia kazi kwenye computer za ofisini! ukitaka kufanya intallation ya kitu chochote kwenye computer hizo huwa...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Wanaume wawili wameshikiliwa na polisi kwa tuhuma za kutishia kumbaka mwanaharakati Cariline Criado-Perez kupitia ukurasa wa twitter. yote hayo yalianza kutokana na kampeni ya kutaka kuwekwa...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
habari zenu wapendwa. Naomba msaada kwa hili, natumia laptop ya apple aina ya macbook pro ambayo inaoperate Mac OS X 10.8 ambayo ndo miongoni mwa latest operating system za apple. Tatizo ni kwamba...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa wale watu wa ma-gadgets and all that... Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa ndizo za gharama zaidi duniani kutokana na miundo yake pamoja na material yaliyotumika kuzitengeneza...
2 Reactions
11 Replies
20K Views
Nimepoteza kwa bahati mbaya icons za iPhone 3GS. Zilizopotea ni Phone, Safari, Email na Search. Zinakaa hapa chini ya simu ukiwasha.
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Nisaidieni wana jf. Ninapotaka kujua kwamba computer zilizo kwenye viwango vinavyotakiwa vya kimataifa, na zile ambazo hazina kabisa viwango vinavyotakiwa vya kimataifa, je ninafanyaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habar wadau, Naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa ku install window kwenye OLPC laptop, default window yake ni Ubuntu ila haina cd room na Bios yake bado sija isoma Picha yake
0 Reactions
7 Replies
1K Views
How 2 J-tag x-box 360
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Habari za kwenu wakuu! kuna hizi adds-on za mozila nimetengeza kwa ajili ya wanaJF na wapenda michezo pia mnaweza kuzijaribu pia.. link zake ni hizi hapa 1...
1 Reactions
0 Replies
927 Views
Sory nilikuwa format my computer by using window xp2 inaendelea lakini inafika Sehemu mala naletewa ujumbe wa the computer has detected serious problem , any way kwa watu wa IT mnaujua ujumbe huo...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Back
Top Bottom