Just when you thought your 64GB iPhone 5 or 128GB iPad were as big as it gets, someones about to blow the smartphone doors off. A company has come up with some clever tech that allows for a...
Wana JF,
Leo ni siku ya tatu siwezi kufungua document yoyote ya ms word,kila nikijaribu kufungua napata ujumbe unaosema
"There was a problem sending the command to the program",natumia ms word...
Wadau kama mnavyojua video call sio maarufu sana kwenye simu zetu sababu kuu ni hawa mobile carriers wetu hawajaipa huduma hii kipaumbele, tumezoea ku- skype kwenye pc zetu(wengi wetu). kwa...
Hivi wakuu, kwani haiwezekani kupost picha kwenye blog kwa kutumia simu. Nimehangaika sana lakini naona nimechemka. Nimetumia Operamini nimechemka. Nimetumia UC Browcer New Version 9.1 bado tu...
wakuu kama kuna mtu anafahamu free homepage (url) ambazo zinakubali tanzania naombeni mnisaidia,mimi ninaifahamu M.twitter.com pekee ....
kama kuna mtu anayo nyingine tofauti na hiyo naomba...
Habari zenu ma-technician wa jf! Miye ni mwanagenzi katika tasnia hii ya technologia lakini nina ndoto hapo baadaye kuwa na blog au website. Nawaomba mnijuze tofauti kati ya blog na website...
Habari wana JF?
:help:Jamani naomba mwenye ujuzi wa link ya ku downloa drama za korea full, sio zile za nusu nusu epsode, atuwekee link hapa iw ya free download, maanake nimejaribu sana kutafuta...
Heshima zenu wakuu. Kiukweli napata tabu sana na startimes decoder. Yaani picha zinakwama balaa, nimeweka hadi antennae yao ila hakuna improvement yoyote. Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya...
Google has launched its own Android
tool to let users find their
smartphone and keep sensitive data
safe when a device is lost.
Android Device Manager was
announced on Friday, saying it would...
ni yule yule first reseller wa PDPROXY hili ni tangazo kwa ajili ya wateja wa zamani na wapya kuhusiana na mabadiliko ya bei.
wale munaotaka kujiunga jisajili hapo Signup - PD-Proxy VPN
ukitaka...
Ninatumia laptop aina ya toshiba satellite a300, windows xp ila ina tatizo la driver za VGA, na AUDIO,
niliinunua ikiwa na windows vista ila hivi karibuni ilipata tatizo ambalo ilibidi kuiformat...
Miaka miwili iliyopita tulishuhudia moja kati ya jambo kubwa katika historia ya mobile technology, nalo ni kampuni ya Google kuinunua kampuni ya Motorola. Baada ya nunuzi hilo wengi wetu tukawa na...
hii smartphone ni balaa hakika tecno wanajitahidi. mchina kaaamua kuliteka soko la africa kwelikweli kama anavyofanya katika bidhaa nyingine kama pikipiki. naamini amefocus kwenye uchumi halisi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.