Wadau kama mnavyoelewa Vlc inapendwa sana na watu kutokana na uwezo wake wa kucheza aina mbali mbali za video na audio lakini kwa upande wa Midi files huwa inashindwa kucheza hivyo nimepata...
wadau nina shughuli nataka kufanya na makampuni ya simu naomba kama kuna mtu anafahamu kampuni inayoweza kuniunganisha na makampuni ya simu (aggregators) anisaidie. nikipata lile kampuni amabalo...
This is a total inspection that includes:
1. Physical internal and internal check
2. Engine check
3. ECU scanning
4. Underneath check
5. Tyres, struts, nuts and bolts
Finaly you will get the...
Wadau nataka kununua bidhaa za electoonic hasa simu, kutoka nje ya Tanzania. Hii imetokana na ukweli kuwa maduka ya vitu vya Electronic hapa Bongo kustock bidhaa za Brand fulani pekee, kimsingi...
Mambo vp wazee msaada wa haraka jamani wa software ya Video converter mwenye nayo ambayo siyo trial nina muvi/series za ukweli sana nataka niziweke kwenye avi files.tafadhali mwenye msaada...
Tumekuwa tukiandika sana juu ya umuhimu wa kuwa na Wavuti, hivyo kama kusikia wengi tayari wameshasikia na kuelewa umuhimu wake. Siku hizi kuwa na wavuti sio tatizo tena na si suala linalohitaji...
Habari zenu mr and mrs nilikuwa naomba msaada wenu kwani mm nimewahi kutiliwa antivirus katika computer yangu lakini kwa sasa hana nguvu tena na ninaambiwa nimu update na namna ya kuupdate cjui...
To hit stores by end of year. I fear this would be end of privacy kabisa. Mfano, cheating husbands can be recorded and video streamed live to wife. Google Glass: what you need to know | TechRadar
nimetengeneza system kwa kutumia dreamweaver cs3 bt nashindwa kukonect na mysqldatabase nimetafuta code online kila nikijaribu zinanigomea xo nifanyeje hapo nimekwama wadau
How do search engines rank your web site?
Title-tag
Headings
Image ALT-tag
Hypertext Link TITLE-tag
ni muda gani search engines like google yahoo or bing zinatumia kupata content ya website?
Habari waungwana kama kuna mtu ana program za kuchakachua modem za HUAWEI na ZTE naomba aniwekee hapo chini nizibebe maana kutumia Line moja kumenishinda nakuwa sooooo LIMITED.
Akhsanteni
Kwa mujibu wa mtandao unaohusika na utoaji takwimu za matumizi ya mitandao ya kijamii duniani ''socialbakers'', Tanzania ina watumiaji active (Monthly Active Users ''MAU'') 693,080 kila mwezi ...
Habari.. Kuna aina ya folders zimejicreate kwa majina haya SYSTEM VOLUME INFORMATION NA RECYCLE.BIN nikiweka flash vinahamia kwenye flash na nimejaribu kuscan ila hamna kitu naomben msaada wa...
Habari wakuu...
Kila nikilog in napata hii message
JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (https://www.jamiiforums.com/)
Inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.
je tatizo ni...
Mnaonaje wadau tukiwa na board ya ICT kwaajili ya kuwatambua kisheria wanataaaruma ya ICT kama ilivyo kwa wengine kama Engineers Accountants Procurements
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kama kuna yeyote anayefahamu jinsi ku install application kwenye smart phone kutoka play store lakini application yenyewe inahitaji ununue.nitashukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.