Wadau nilikuwa naangalia tarifa ya habari ITV nimeona Toyota Landcruiser VX imehuska tena kwenye ajali ambayo imegharimu maisha ya jaji mstaafu Mwaipopo,kilichonifanya niingize hii mada ni kutaka...
Wapendwa,habari za usiku huu? Naomba msaada namna ya ku-renew ant virus katika lap top yangu. Aina ya ant-virus ninaotumia ni norton na inaishia mwishoni mwa juma lijalo. Tafadhali naomba msaada...
Scientists find hint of dark matter from cosmosBy JOHN HEILPRIN and SETH BORENSTEIN | Associated Press 13 hrs ago
View PhotoSPACE.com - The powerful Alpha Magnetic Spectrometer-2 (AMS) is...
Wadau naomba kupewa msaada. Tatizo langu kwenye Blackberry version ya Facebook website kuna baadhi ya functions hazipo. Mfano kwenye groups nashindwa kusoma documents,kwenye news feed sipati...
Imepita mwezi sasa wananchi wanahaha kupata mtandao wa internet ambao uko stable wakati huohuo TTCL wamekaa kimya na kunyamaza kana kwamba hawahusiki chochote na ukosefu huo wa mtandao. MY TAKE...
wana jf msaada kwenu napmba kwa wale wenye kujua naomba mnisaidie ni aplication gani naweza kutumia na nika remove password ambayo nimeisahau wakati ninawasha simu ikishawaka inablock na inataka...
wakuu wote kwanza natanguliza salam kwenu mambo vipi naombeni msaada kuhusu hii modem
modem ni huawei E160e ilikua inatumika france line ya orange jee kwa tanzania inawezekana kutumika kwa...
Jamani habari zenu. Nina printer ya hp laserjet 1010, sasa niliiweka stoo maana nilisafiri kwa muda wa miezi kadhaa, sasa nimerudi nikiprinti naona wino unavuja. nikiifungua ndani na kutoa ile...
Msaada ndugu zangu. Yeyote mwenye ufahamu jinsi ya kuinstall window au office kwa kutumia external devices tafadhali anijuze wakuu.:A S shade::A S shade:
Kuna jamaa kanipa set up za windows 8 nimejaribu kupiga window kwenye pc ikakaa poa tu ila kuna setings hazipigi kazi na inataka activation keys na mm cna sasa naombeni mnisaidie kwanza...
heshima mbele wandugu,
kila ninapofungua jf kwenye laptop yangu inakuwa na maandishi madogo sana, kiasi kwamba hata hayasomeki, hata hivi sasa naandika kwa taaaabu sana. naomba msaada tatizo ni...
Tuliambiwa LCD, LED na PLASMA Tv zina ving'amuzi ndani na hivyo wakizima hizo 'analojia' tutaweza kudaka matangazo ya dijitali bila kutafuta king'amuzi kingine. Tangu waanze kuzima TCRA...
Muungano wa Nchi za Kishoshalisti za Kisovieti (USSR) ulikuwa ni mahiri katika uundaji wa ndege. Moja ya aina nyingi za ndege nyingi zilizotengenezwa na USSR kabla ya kuvunjika kwake mwanzoni mwa...
Wana JF,
Jamani kama kuna duka ambapo zinapatikana au kama unayo ya mkononi naomba unijuze. Nitakupa mawasiliano yangu.
Je, nitaipata kwa pesa kiasi gani za kitanzania maana nasikia Rand ya...
I read from gsmarena kwamba Samsung Galaxy Mega handsets with 5.8" and 6.3" screens are coming.
Guys, i think this is like violating Smartphone and Tablet screen size limitations.
Mimi was though...
Wakuu wasalaam all members of Educational,Tech & Professional Forums
Ktk majukwaa hapa JF yanayojenga na kufundisha hili ni moja wapo kama sio linaloongoza. Big up all forum members.
Sasa nirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.