Kariakoo Online Company Limited is glad to introduce new business model for mobile phone repair,unlocking,flashing etc.
From now onwards no need for people around Dar es salaam to have physical...
11/03/2013
Chanzo: Gajetek - Gajet na Teknolojia
Sifa Muhimu za Laptop Ya Leo
Laptop imekuwa ni sehemu ya maisha ya wanajamii wengi, ni sehemu ya maisha ya kazi, ni sehemu ya maisha ya...
Mwenye softcopy ya kitabu cha Ms Access 2010 Bible naomba aniwekee link yake nimedownload vya Word 2010,Excel 2010 na Powerpoint 2010 lakini Access 2010 sikupata kabisa.
Ikiwa unaona your smart phone has recently become sluggish always lagging and freezing, na tangu uinunue hujafanya updates za base software na haikuwa hivyo mwanzoni na huna muda wa ku update...
Napenda kujua ni kitu gani kinachosababisha clutch plate za gia box auto ziungue, kwani jambo hili limenitokea mara mbili sasa nashindwa kujua nakosea wapi mwenye ujuzi anisaidie
Kufuatia kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa habari ktk uchaguzi mkuu nchini Kenya binafsi napata taabu sana kuelewa kilichotokea.
Bado napenda kuamini utalaamu unaotumika kutengeza tuseme ATM...
Nimeona hii kitu kwenye tiGo leo...
Kwa kawaida mimi huwa ni wa mwisho kujiunga na hizi promo,naomba wale wazee wa kujilipua watupatie majibu kuhusiana na speed.Maana isijekuwa yale ya...
Wadau nakuja jamvini hapa hasa kwenye jukwaa ili la mateknolojia kuomba msaada wenu mmoja tu,nao ni kua naomba kujua je naweza kuinstall Viber kwenye simu yangu ambayo ni nokia 5130 express...
Tukiwa tunahesabu masaa kabla ya uzinduzi wa Galaxy S4 kujikumbushe jinsi Garage Band ya iPad na Siri ya iPhone 'walivyoi-dis' Samsung Galaxy SIII kwenye WWDC mwaka jana...
Apple  ni kinara wa gajeti za mkononi, hayati Steve Jobs katika katika mkutano wa watengeza Apps na wanahabari WWDC aliweka wazi kuwa Apple ni kampuni ya kutengeza vifaa vya aina hiyo...
Kila nikfungua magame kwenye mypc inaniletea hyo sms je nifanyaje ili kusovu tatzo na hii nibaada yakuchange vga card nakuweka window mpya hata yupo jiran yangu mwenye tatzo kama hlo yeye...
Habari wana JF nimeletewa simu kutoka ughaibuni Sharp sidekick (T MOBILE) sasa nikiweka sim card za hapa tz inaniandikia Enter code to enable SIM card, JE hizo code ni zipi na...
Niko na Decoder/King'amuzi Dreambox DM500-S kuna uwezekano wa ku-load software ya MPEG4!?????? Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwezekano huoooo. Na wapi/nani anaweza kunisaidia tafadhali.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.