Hi
members I have been experiencing internet problem,I use wireless internet at our office sometimes when browsing I get a message for failure to load web site pages(websites not found as if there...
Wandugu,
Pls assist jinsi ya kulink youtube na Gmail. Kuna some clips zinagoma kuplay na inanambia your account to youtube. Sasa ni jinsi gani naweza link? Natumia adroid
Hello mates,
I am getting an error on Windows XP Proffesional Service Pack 3 which pop ups every now and then. The pop up has a heading " 16 bit MS-DOS Subsytem" and then the words "The NTVDM CPU...
wakuu msaada wa link ya kudownload any hack software maana nimejalibu helloOx nayo inaandika expired norton inakubali ila haiweki icon, mda ss kila nkipata application ya ukweli ni kiinstall...
Kwa anaejua jinsi ya kuzuia msg za mnara wa simu,kila baada ya dakika kumi zinaingia si chini ya msg tatu kutoka vodacom. Napata shida kila wakati ni kudelete tu msg,
Natumia TECNO N3.
Help...
wakuu, naomba mkali wa java anielekeze jinsi ya kutengeneza code za java ambazo nizilink na form ya html kwa ajili ya guestbook.
Tatizo langu kubwa ni jinsi nitakavyoandaa java.
(note: nataka...
Kampuni ya Microsoft imetozwa faini ya dola milioni 731 kwa kukosa kuwapa watumiaji wa programu ya Windows
uwezo wa kuchagua mfumo wa kutumia Internet badala ya kutumia mfumo wake wa Internet...
Wadau!
Je, nifanyeje ili kuinstall app hii katika iPad. Nikijaribu inasema account yangu is not valid kutumia store ya US na kunitaka ni switch kwenye Tanzanian store.
Sasa nina switch vipi? Au...
Salamu kwa wakubwa wote! Habari gani Simu yangu ya Nokia huwa inajizima na kujiwasha yenyewe. Hali hutokea, hususani wakati nikitumia intaneti. Naomba kujua nini sababu na suluhu. Hali hii...
Wadau natumia machine ya kizamani kidogo dell optiplex gx 240 tatizo ni kwamba nikiiwasha ha-iboot na haimalizi POST inaniambia "previous attempts to boot this machine failed at checkpoint Vmgr...
Wadau natumia machine ya kizamani kidogo dell optiplex gx 240 tatizo ni kwamba nikiiwasha haiboot na haimalizi POST inaniambia "previous attempts to boot machine failed at checkpoint Vmgr...
Wajamen naombeni msaada wa fundi wa ukweli wa laptop dar maana haidisplay kwenye kioo ingawa inawaka yaani inatoa ishara kama inawaka lakini ndio hivyo ..naogopa kutapeliwa!
Wadau naombeni msaada kila ninapowsha pc yangu nakumbana na massage error hii:
C:\Windows\System32\ctl3dv232.dll is either not designed to run on Windows or it contains an error. Try installing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.