Ndugu wanaboard,nimepata software ya kuflash simu za Kichina ambayo ni GPDDragon Ver 2.13-www.MobileRdx.com,Binafsi kwenye pc yangu natumia Window7 Ultimate,ila kila nikijaribu kuinstall inadai...
07/03/2013
Huawei ni kampuni ya tatu kuuza simu nyingi aina ya smartphone katika robo ya mwisho ya mwaka 2012, mzungumzaji wa Huawei Technologies, Tatiana Debra alidai katika mahojiano na WSJ...
Niaje wakubwa naomba yeyote mwenye links za game kati ya hz- pes 2010, call of duty 2,fifa 2010,mafia 2 Au 1, na gta san andreas (FULL VERSION). iwe direct links au torrent vyote sawa. Nataka...
Sir, the situation is like this: I am using a USB to serial converter to be connected to Radio Base Station of GSM using a software called OMT after configuring the COM port on the software
and...
NEW NOKIA AND SAMSUNG CABLE FINDER- ONLINE UPDATION
NOKIA_FBUS_cable_finder_Setup_V1.3.0-www.MobileRdx.com.rar
DEAR - GOOD NEWS, YOU CAN MAKE NOW YOUR OWN FBUS CABLE BY HELP OF THIS PIN...
MOBILE PARTNER FOR - ZTE & HUAWEI MODEMS
Dear friends, here now you can use your unlocked vodafone zte modems, or any zte manufactured or huawei modems, after unlocking, use this MOBILE PARTNER...
wadau nina receiver yang ya gulf box remote yake iliharibka ikashndkana kutengenezeka, nimejaribu kutafuta remote maduka yote ya morogoro nimeikosa wanadai remote yake haipatikani. tatizo ni moja...
habari geeks,
well nina collection ya hiyo game apo juu
4cd pack
turkey language,ndo imenifanya nije kenu kuitangazia dau
naiuza kwa 30 tu...still new
ARUSHA only
Salama wazeiya!
Naomba msaada wenu. Ntawezaje kupata / ku install programs kama whatsupp, viber, quote kwenye Htc Tattoo?
nimejaribu sana ila nimeshindwa.
Help pliz...
Mwenye kujua anipe msaada wa kufanyia configuration Blackberry 8120 ili niweze pata internet kwa line ya Tigo,maana kila ninapojaribu kufungua internet inaniambia wi-fi not connected.
hivi hizi zinazo itwa "smartphones" mbona kama zina fanana fanana design, naona kinacho punguzwa au kuongezwa ni ukubwa wa screen na specification zake.
and what happened to the physical...
Hi every1 im in Sud Africa,i am looking for an advice.
I have a Samsung C3300 Champ the problem is that its mp3 volume is not so loud,what can i do increase its volume capacity?
Wadau me modem yangu za huawei ya zantel haitaki kusoma netwk ya zantel ukiweka inagoma naambiwa ntumie line iliyo authorizd chaajabu nikiweka sim ya voda inaconnect tatizo inantaka niongeze hela...
WATUMIAJI wa kompyuta ambao hutumia haramia na bidhaa bandia za programu za
kompyuta nchini kwa matumaini ya kuokoa fedha, huongeza nafasi ya kupata
maambukizi ya virusi katika programu.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.